Kweliiii?Anatajwa tajwa uchaguzi Ujao
Rostam anazo sifa zote za kikatiba kugombea urais wa nchi, zaidi sana amekuwa ni mtu aliye mstari wa mbele kabisa kwa wazi katika kujishughulisha na siasa za juu kabisa za nchi hii.
Inawezekana siku moja tukamuona akitaka kuingia magogoni ofisi namba moja kabisa kufanisha ndoto zake za Tanzania aitakayo?
Huyu ni king maker and guardian tu, hahitaji hicho cheo.Rostam anazo sifa zote za kikatiba kugombea urais wa nchi, zaidi sana amekuwa ni mtu aliye mstari wa mbele kabisa kwa wazi katika kujishughulisha na siasa za juu kabisa za nchi hii.
Inawezekana siku moja tukamuona akitaka kuingia magogoni ofisi namba moja kabisa kufanisha ndoto zake za Tanzania aitakayo?
Ni kweli kabisa, hasa ukichukulia kuwa jamii ya ponjoro imeonekana kukubalika sana hapa nchini Ponjoro wa KinondoniRostam anazo sifa zote za kikatiba kugombea urais wa nchi, zaidi sana amekuwa ni mtu aliye mstari wa mbele kabisa kwa wazi katika kujishughulisha na siasa za juu kabisa za nchi hii.
Inawezekana siku moja tukamuona akitaka kuingia magogoni ofisi namba moja kabisa kufanisha ndoto zake za Tanzania aitakayo?
Wale wakiupata watatuchonya hadi mavy mbwa waleNdo anachokitaka hata yule kabacholi wa simba ndo dream yao hiyo ili watunyonye na kutufilimba kabisa
Haitatokea sababu Mbowe siyo Mwenyekiti wa chama tena.Na akigombea kupitia CDM ataitwa Kamanda na hizi tuhuma zote tutasema amesingiziwa na tutasema mengine tumemsamehe maana ametubu.
tutasema pia kwenye siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu.
ndani ya viunga vya Hodeidah Yemen
Haitatokea sababu Mbowe siyo Mwenyekiti wa chama tena.
Ni Mtanzania mwenye sifa za kugombea Urais? Kama ana sifa basi nitampigia kura.Rostam anazo sifa zote za kikatiba kugombea urais wa nchi, zaidi sana amekuwa ni mtu aliye mstari wa mbele kabisa kwa wazi katika kujishughulisha na siasa za juu kabisa za nchi hii.
Inawezekana siku moja tukamuona akitaka kuingia magogoni ofisi namba moja kabisa kufanisha ndoto zake za Tanzania aitakayo?