funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Upo uwezekano tukawa tunaona kuna zigo la misaada kwa nchi ya Tanzania kumbe fedha nyingi zinaishia mikononi mwa NGOs za mifukoni au magharibi hukohuko.
Mbaya zaidi kazi kubwa wanayoifanya ni makongamano,semina na hata kuanzisha programu "mizigo " ambazo haziwezi kuwa endelevu. Ni wakati sasa wa kuweka masharti kama nchi ya aina ya misaada ambayo itakuwa endelevu na yenye tija kwa taifa. isije ikawa tunatengenezewa tatizo.
Tunaletewa suluhisho la muda mfupi kupitia msaada halafu tunaingia kwenye urahibu wa misaada na hatimaye kutakiwa kununua teknolojoa flani kwa maslahi ya waleta misaada. Ifike mahali misaada iwe misaada kweli na sio misaada ya janja janja na fedha haramu ya kuondosha amani ya nchi.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!