Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Pinda ni mtu wa hovyo kuliko hata hovyo yenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena awe under 40Tumechoka na wazee,ilihali vijana hawana ajira. Tumchague kijana kukiongoza chama
Tena awe under 40
Ni chama cha hovyo sn lakini baada ya miaka 10 kitaeleweka maana watu wamechoshwa na ufisadiCCM hawawezi kukupa katiba mpya na hata ikitokea wameamua basi itakuwa ni kwa maslahi ya chama chao na si vinginevyo...
Hiki chama ni cha mabavu na hakuna wa kukifanya lolote labda Mungu...
CCM ni majangili tupuBaada ya Kinana kujiuzulu, CCM itampata Makamu Mwenyekiti wa CCM kijana
Ni kweli kwamba katika uongozi wa CCM, vijana wamekuwa wachache ikilinganishwa na wazee. Hata hivyo, uchaguzi wa makamu mwenyekiti mpya wa CCM kijana unaweza kuwa na athari chanya katika kuunganisha na kujenga ushawishi miongoni mwa vijana, hasa kundi la Generation Z. Baadhi ya faida zinazoweza...www.jamiiforums.com
Wa temboCCM ni majangili tupu
TISS , Baraza kuu na wahusika wote ukweli ni kwamba 2025 tunahitaji Rais mpya hakuna wito Zaidi ya huo, Bibi hapana hapana hata kama anafaa kwa Dunia ya sasa umri wake hapana ikulu sio sehemu ya majaribio na bahati nasibu.Pamoja na mapungufu yake mengi, ninachomkubali Mizengo Pinda ni uumini wake kwenye Katiba Mpya. Nilishawahi muangalia akitoa maoni TBC akiwa mjumbe wa kikosi cha kutazama hali ya demokrasia nchini na kusema kweli aliunga mkono suala la Katiba Mpya.
Pamoja na mapungufu yake mengi ,ninachomkubali Mizengo Pinda ni pale aliposimama waziwazi kupinga kurejeshwa kwa Bashite CCM kwa hoja kuwa huyu mtu ana mapungufu mengi.
Pamoja na mapungufu yake mengi, Pinda ni mkweli sana. Na ana tabia ya kushauri ukweli kwenye ukweli.
Hakuna ubishi kuwa kisiasa Kinana ndo Legend wa siasa za Tanzania. Sidhani kama kuna mtu anamuweza huyu mtu. Ufahamu wake kwa siasa za ndani na nje ya nchi sidhani kama kuna mwana CCM anayemfikia kwenye hili.
Ni ukweli pia kuwa Kinana amezeeka, na anazeeka kila siku. Kwa umri wake ni kumuonea kumuweka kwenye siasa za purukushani. Alishawahi omba kupumzika huko nyuma na sasa inasemwa ameomba. Aachwe apumzike kwa kuwa kweli amechoka kutokana na kufanya kazi sana.
Vyovyote vile, hofu yangu kubwa sio vita ndani ya CCM bali ni namna nchi yetu itaweza pata Katiba Mpya na bora chini ya CCM hii ya sasa ambao ni power mongers!
Hofu yangu Lord denning ni makundi hasimu ya CCM ambayo kusema kweli nia yao ni kukamata dola kwa maslahi yao na wala sio kuibadilisha hii nchi iwe na maendeleo ya kweli! Sasa kuna kundi linaweza kutupa Katiba Mpya na iliyo bora?
Ukiangalia kwenye mitandao, utagundua hizi tumbua tumbua, toa huyu weka yule zinafanyika kama sehemu ya power struggle tu. Hazina maana yeyote kwa nchi na wananchi. Na hii ni ishara kuwa akilini mwa hawa watu ni madaraka tu!
Napenda kumaliza kwa kusema, vyovyote vile, the future of Tanzania is not promising. TISS watusaidie tupate Katiba Mpya na bora haraka sana!
Kwenye hili. Ni muhimu kwa dola kuonesha yenyewe ni dola kweli. Maana unachosema kina ukweli kwa sehemu kubwa.
Wakati ukiamua hakuna lisilowezekanaSasa dola ya JMT si imeundwa na hao hao CCM kwa 100% kuanzia serikali kuu, bunge na mahakama...
Mizengo Pinda ni miongoni mwa viongozi waandamizi wa ccm wanaopinga kabisa Katiba mpya, huyu ni mtu aliyepitwa na aakati ambaye hata rushwa hajawahi kuipiga vita.Pamoja na mapungufu yake mengi, ninachomkubali Mizengo Pinda ni uumini wake kwenye Katiba Mpya. Nilishawahi muangalia akitoa maoni TBC akiwa mjumbe wa kikosi cha kutazama hali ya demokrasia nchini na kusema kweli aliunga mkono suala la Katiba Mpya.
Pamoja na mapungufu yake mengi ,ninachomkubali Mizengo Pinda ni pale aliposimama waziwazi kupinga kurejeshwa kwa Bashite CCM kwa hoja kuwa huyu mtu ana mapungufu mengi.
Pamoja na mapungufu yake mengi, Pinda ni mkweli sana. Na ana tabia ya kushauri ukweli kwenye ukweli.
Hakuna ubishi kuwa kisiasa Kinana ndo Legend wa siasa za Tanzania. Sidhani kama kuna mtu anamuweza huyu mtu. Ufahamu wake kwa siasa za ndani na nje ya nchi sidhani kama kuna mwana CCM anayemfikia kwenye hili.
Ni ukweli pia kuwa Kinana amezeeka, na anazeeka kila siku. Kwa umri wake ni kumuonea kumuweka kwenye siasa za purukushani. Alishawahi omba kupumzika huko nyuma na sasa inasemwa ameomba. Aachwe apumzike kwa kuwa kweli amechoka kutokana na kufanya kazi sana.
Vyovyote vile, hofu yangu kubwa sio vita ndani ya CCM bali ni namna nchi yetu itaweza pata Katiba Mpya na bora chini ya CCM hii ya sasa ambao ni power mongers!
Hofu yangu Lord denning ni makundi hasimu ya CCM ambayo kusema kweli nia yao ni kukamata dola kwa maslahi yao na wala sio kuibadilisha hii nchi iwe na maendeleo ya kweli! Sasa kuna kundi linaweza kutupa Katiba Mpya na iliyo bora?
Ukiangalia kwenye mitandao, utagundua hizi tumbua tumbua, toa huyu weka yule zinafanyika kama sehemu ya power struggle tu. Hazina maana yeyote kwa nchi na wananchi. Na hii ni ishara kuwa akilini mwa hawa watu ni madaraka tu!
Napenda kumaliza kwa kusema, vyovyote vile, the future of Tanzania is not promising. TISS watusaidie tupate Katiba Mpya na bora haraka sana!
Vinginevyo JOBO NdugaiLeo umenena vyema! Hawa ni walafi wa rasilimali tu
Tulia kwanza. Usiongee ukiwa na hasira.Pamoja na mapungufu yake mengi, ninachomkubali Mizengo Pinda ni uumini wake kwenye Katiba Mpya. Nilishawahi muangalia akitoa maoni TBC akiwa mjumbe wa kikosi cha kutazama hali ya demokrasia nchini na kusema kweli aliunga mkono suala la Katiba Mpya.