vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Miezi kadhaa nyuma tulisikia taarifa za ujio wa VAR kwa Tanzania kwaajili ya kuboresha ligi yetu katika kusaidia utoaji wa maamuzi yenye utata uwanjani. Nimeshangazwa sana kwa kutokuona waamuzi watakaokuwepo kwenye chumba cha VAR siku ya tarehe 8 kati ya Simba dhidi ya Yanga.
VAR ilipaswa kuanza kutumika kuanzia mechi ya kirafiki kati ya Simba dhidi ya APR na mechi ya Yanga vs Red Arrows ikiwa lengo ni kufanya najaribio kisha mechi ya ngao ya jamii ingetumika pia hiyo VAR ili kuendelea kuufanyia majaribio kuelekea msimu mpya wa ligi kuu.
Cha ajabu inatoka orodha ya waamuzi watakao simamia mchezo wa Yanga dhidi ya Simba lakini waamuzi wa chumba cha VAR hakuna maanake bado VAR bado ni pambo hadi sasa.
Soma Pia: VAR kutumika msimu wa 2024/25 ligi kuu ya NBC