Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi hii janjajanja na blaa blaa zimetawala, huoni uwanja wa mkapa toka ufungwe kwa marekebisho unatimiza mwaka na ushehe hakuna kitu cha kuonyesha kuna ukarabati wa maana, Zanzibar uwanja wa aman imewachukua miezi 8 tu kuukarabati na kuwa na muonekano safi na wakisasa🚮🚮🚮Miezi kadhaa nyuma tulisikia taarifa za ujio wa VAR kwa Tanzania kwaajili ya kuboresha ligi yetu katika kusaidia utoaji wa maamuzi yenye utata uwanjani. Nimeshangazwa sana kwa kutokuona waamuzi watakaokuwepo kwenye chumba cha VAR siku ya tarehe 8 kati ya Simba dhidi ya Yanga.
VAR ilipaswa kuanza kutumika kuanzia mechi ya kirafiki kati ya Simba dhidi ya APR na mechi ya Yanga vs Red Arrows ikiwa lengo ni kufanya najaribio kisha mechi ya ngao ya jamii ingetumika pia hiyo VAR ili kuendelea kuufanyia majaribio kuelekea msimu mpya wa ligi kuu.
Cha ajabu inatoka orodha ya waamuzi watakao simamia mchezo wa Yanga dhidi ya Simba lakini waamuzi wa chumba cha VAR hakuna maanake bado VAR bado ni pambo hadi sasa.
Soma Pia: VAR kutumika msimu wa 2024/25 ligi kuu ya NBC
Kwani tumenunua kwa hela zetu hiyo VAR? Sio kwamba ililetwa kama msaada na majaribio.Mechi za Sumba vs APR na Yanga vs Red Arrows na Derby ya tarehe 8 kutumia VAR hadi FIFA waidhinishe? Tokea VAR inunuliwe mpaka leo ni muda gani umepita? Kwanini hizo process za FIFA hazikufanyika mapema? Mechi ya kesho ilikuwa ndio mwanzo wa kuonesha wapenzi wa mpira Tanzania kuanza kupata mechi yenye maamuzi sahihi kwenye matukio tata.
Wameenda training nje ya nchi, subiria warud watakaa chumbani kwaoMiezi kadhaa nyuma tulisikia taarifa za ujio wa VAR kwa Tanzania kwaajili ya kuboresha ligi yetu katika kusaidia utoaji wa maamuzi yenye utata uwanjani. Nimeshangazwa sana kwa kutokuona waamuzi watakaokuwepo kwenye chumba cha VAR siku ya tarehe 8 kati ya Simba dhidi ya Yanga.
VAR ilipaswa kuanza kutumika kuanzia mechi ya kirafiki kati ya Simba dhidi ya APR na mechi ya Yanga vs Red Arrows ikiwa lengo ni kufanya najaribio kisha mechi ya ngao ya jamii ingetumika pia hiyo VAR ili kuendelea kuufanyia majaribio kuelekea msimu mpya wa ligi kuu.
Cha ajabu inatoka orodha ya waamuzi watakao simamia mchezo wa Yanga dhidi ya Simba lakini waamuzi wa chumba cha VAR hakuna maanake bado VAR bado ni pambo hadi sasa.
Soma Pia: VAR kutumika msimu wa 2024/25 ligi kuu ya NBC
Kwani tumenunua kwa hela zetu hiyo VAR? Sio kwamba ililetwa kama msaada na majaribio.Mechi za Sumba vs APR na Yanga vs Red Arrows na Derby ya tarehe 8 kutumia VAR hadi FIFA waidhinishe? Tokea VAR inunuliwe mpaka leo ni muda gani umepita? Kwanini hizo process za FIFA hazikufanyika mapema? Mechi ya kesho ilikuwa ndio mwanzo wa kuonesha wapenzi wa mpira Tanzania kuanza kupata mechi yenye maamuzi sahihi kwenye matukio tata.
hapana kupigwa,kwanza hizo var zimenunuliwa na azam sio tff,na zimenunuliwa ujerumani kwa specifications za fifa ,wakati tunasubiri kibali cha fifa mafunzo yanaendelea na fifa watakuja kukagua wao hapa tanzania ndio watatoa kibaliFifa hawacheleweshi mambo, hapa itakuwa tumepigwa tena kama ilivyoada.
Kwa matumizi ya msimu ujao wa ligi?hapana kupigwa,kwanza hizo var zimenunuliwa na azam sio tff,na zimenunuliwa ujerumani kwa specifications za fifa ,wakati tunasubiri kibali cha fifa mafunzo yanaendelea na fifa watakuja kukagua wao hapa tanzania ndio watatoa kibali
Nani atoe msaada wa VAR? Hakuna kitu kama hichoK
Kwani tumenunua kwa hela zetu hiyo VAR? Sio kwamba ililetwa kama msaada na majaribio.
Ndio umeandika kitu gani? Tokea iletwe hadi sasa imepita miezi mingapi? Kama kufatilia vibali tokea kipindi kile mpaka sasa ingekuwa wameshapata na hao wataalam kama wangepeleka mafunzo mpaka sasa wangekuwa wameshahitimu. Hapo ni usanii tuV.A.R haitumiki kama unavyotumia simu yako, inahitaji vibali kutoka kwa wenye mpira wao pamoja na wataalam wa kuiendesha
ni msimu huu maybe baada ya mwezi mmoja hiviKwa matumizi ya msimu ujao wa ligi?
Ulikuwa mbele ya mudaMiezi kadhaa nyuma tulisikia taarifa za ujio wa VAR kwa Tanzania kwaajili ya kuboresha ligi yetu katika kusaidia utoaji wa maamuzi yenye utata uwanjani. Nimeshangazwa sana kwa kutokuona waamuzi watakaokuwepo kwenye chumba cha VAR siku ya tarehe 8 kati ya Simba dhidi ya Yanga.