mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
Haiwezekani TANESCO mkatuambia kwamba hizi mvua zote zinazoharibu mashamba ya miwa kufanya sukari iuzwe 5000 kilo eti haziingii kwenye bwawa la kuzalisha umeme, kweli?
Hivi mnatuonaje? Marehemu Magufuli alisema mliwahi kuchepusha maji yasiingoe Bwawani si ajabu tena mmerudia huo mchezo maana huyu mama hana habari so kucheza hiyo michezo kwenu ni kawaida kabisa.
TANESCO mjiangalie