Sasa mama hawezi ila kumtoa hapo juu labda mlete graderHaiwezekani Tanesco mkatuambia kwamba hizi mvua zote zinazoharibu mashamba ya miwa kufanya sukari iuzwe 5000 kilo eti haziingii kwenye bwawa la kuzalisha umeme , kweliii ? Hivi mnatuonaje ? Marehem JPM alisema mliwahi kuchepusha maji yasiingoe Bwawani si ajabu tena mmerudia huo mchezo maana huyu mama hana habari so kucheza hiyo michezo kwenu ni kawaida kabisa. Tanesco mjiangalie
Nilifikiri una ushahidi,kumbe ni dhana tu?Haiwezekani Tanesco mkatuambia kwamba hizi mvua zote zinazoharibu mashamba ya miwa kufanya sukari iuzwe 5000 kilo eti haziingii kwenye bwawa la kuzalisha umeme , kweliii ? Hivi mnatuonaje ? Marehem JPM alisema mliwahi kuchepusha maji yasiingoe Bwawani si ajabu tena mmerudia huo mchezo maana huyu mama hana habari so kucheza hiyo michezo kwenu ni kawaida kabisa. Tanesco mjiangalie
Wanakuona kama mpumbavu Kwa sababu hai make sense Vigogo wowote Nchi hii wanachepusha maji.Haiwezekani TANESCO mkatuambia kwamba hizi mvua zote zinazoharibu mashamba ya miwa kufanya sukari iuzwe 5000 kilo eti haziingii kwenye bwawa la kuzalisha umeme, kweli?
Hivi mnatuonaje ? Marehemu Magufuli alisema mliwahi kuchepusha maji yasiingoe Bwawani si ajabu tena mmerudia huo mchezo maana huyu mama hana habari so kucheza hiyo michezo kwenu ni kawaida kabisa.
TANESCO mjiangalie
MajambaziTafadhali usiwaite vigogo, tafuta majina mazuri yanayowastahili.
Kuna haja sasa wa wahusika kutoka hadharani na kutupa maelezo yaliyoonyooka juu ya sababu za mgao huu unaoendelea!Haiwezekani TANESCO mkatuambia kwamba hizi mvua zote zinazoharibu mashamba ya miwa kufanya sukari iuzwe 5000 kilo eti haziingii kwenye bwawa la kuzalisha umeme, kweli?
Hivi mnatuonaje ? Marehemu Magufuli alisema mliwahi kuchepusha maji yasiingoe Bwawani si ajabu tena mmerudia huo mchezo maana huyu mama hana habari so kucheza hiyo michezo kwenu ni kawaida kabisa.
TANESCO mjiangalie