kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Wakuu,
Ebu nifumbueni macho, nahisi huyu cousin wangu ananipiga kamba.
Iko hivi, alimaliza form 6 hapa bongo mwaka 2009 akaitwa na dada zake wako huko Texas marekani, lengo alitakiwa akasome chuo huko masuala ya IT.
So chuo alimaliza ila hakurudi bongo tena, akawa anafanya kazi kwenye kampuni moja ya usafirishaji huko marekani.sasa toka mwaka huu uanze mawasliano na yeye yakakata ghafla.nilikua nikimcheck WhatsApp naona message hazisomwi na last seen ni January 23 mwaka huu.
Leo nimeona kanitumia picha yake kavaa nguo za jeshi zenye nembo ya bendera ya USA imeandikwa Marine na jina la jamaa.
Kaniambia kaamua hayo ndiyo yawe maisha yake mapya.tumepiga story mbili tatu akaniambia wanaweza wakawa deployed nchi flani iko middle East muda wowote Ili kuwapokea zamu wenzao ambao wanatakiwa kurudi Marekani.
Sasa sijaelewa, kwa kumbukumbu zangu huyu ndugu yangu sikumbuki kama amewahi kuukana uraia wa Tanzania.sasa inakuaje aweze kuwa mwanajeshi wa jeshi la marekani?