Ku uliza si ujinga? Mtu kaomba ushauri Mpe ushauri kama huwezi nyamaza sio kuleta kejeli zako zisizo na msingi...shame on you[emoji35][emoji35][emoji35]
Mkuu kyagata naomba nikutanie kidogo, angalia jamaa asije akakushawishi ukaikimbia nchi. Baki bongo upambane na Utumishi, nafasi yako ya kuingia kwenye mrija wa asali (ajira) ipo tena kitengo kizuri.