Wakati magufuli anajenga masoko ya kisasa mulimwona mwehuHii nchi ya Lebanon kila siku naisikia iko vitani na Waisraeli au migogoro ya siasa za ndani kwa ndani kati yao wenyewe ila nimeshangaa masoko yao yana tiles!
View attachment 3099323
Sisi tunashindwaje kuweka hata zege tu bila tiles kwa soko muhimu kama la Mabibo??
Masoko yote yalitakiwa yawekwe pavement blocks.
Mbona magufuli alikuwa na motive ya kujenga masoko ya kisasa Tanzania nzima?Tufikie mahali tukubali ukweli, na ukweli huu utatuweka huru! kwamba waafrika hatuwezi kujitawala, na hata serikali tunazounda na viongozi wake wapo kwa maslahi binafsi na si dhamira ya kuyakomboa mataifa yao kiuchumi na kufukuza umaskini.
Mifumo ya kiafrika haiwataki watu wenye maono ya kuleta ukombozi wa kiuchumi, ndio maana hakufika popote!Mbona magufuli alikuwa na motive ya kujenga masoko ya kisasa Tanzania nzima?
Afuganistani Ilikuwa kwenye vita tangu nazaliwa lakini bado wametuzidi kiuchumi..
Umaskini ni laana😆😆Mkuu sisi kila kitu kwetu ni anasa. yani hata kunywa chai asubuhi utaambiwa unajikweza.
Wakati magufuli anajenga masoko ya kisasa mulimwona mwehu
Tuishie HapaTufikie mahali tukubali ukweli, na ukweli huu utatuweka huru! kwamba waafrika hatuwezi kujitawala, na hata serikali tunazounda na viongozi wake wapo kwa maslahi binafsi na si dhamira ya kuyakomboa mataifa yao kiuchumi na kufukuza umaskini.
kwa wasiojua, hezbollah kwa kuogopa kunaswa na israel, waliamua kutokutumia simu hizi za kawaida. ukitumia simu myahudi anakuona ulipo na unachokifanya kwenye simu na unaoongea nao na anakufuata na bom pale ulipo. wakaamua kununua "pagers" ambazo zinasemekana hazina network. kumbe myahudi ana uwezo kuhack hizo pagers, akasubiri kwanza wafuasi wa hezbollah wanunue na kuzitumia, wamekuwa wakizitumia kwa mafanikio. siku ya siku walipojisahau, israel akabonyeza kitufe kume zile pagers mle ndani kuna explosives, kuna namna unafanya zinalipuka.Hii nchi ya Lebanon kila siku naisikia iko vitani na Waisraeli au migogoro ya siasa za ndani kwa ndani kati yao wenyewe ila nimeshangaa masoko yao yana tiles!
View attachment 3099323
Sisi tunashindwaje kuweka hata zege tu bila tiles kwa soko muhimu kama la Mabibo??
Masoko yote yalitakiwa yawekwe pavement blocks.