much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
JPM was a real dealpia zilijengwa stend nzuri kwa baadhi ya mikoa na wilaya ili kuongeza mapato na huduma bora
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JPM was a real dealpia zilijengwa stend nzuri kwa baadhi ya mikoa na wilaya ili kuongeza mapato na huduma bora
Hao viongozi wametoka miongoni mwetu. Tabia zao zinaakisi tabia za taifa zima. Tukianzia ngazi ya chini kabisa ni watu wachache mno wako tayari kufuata sheria. Majority tukiamua tufuate sheria tutaanza kutoa viongozi wazuri wanaofuata sheria.Tufikie mahali tukubali ukweli, na ukweli huu utatuweka huru! kwamba waafrika hatuwezi kujitawala, na hata serikali tunazounda na viongozi wake wapo kwa maslahi binafsi na si dhamira ya kuyakomboa mataifa yao kiuchumi na kufukuza umaskini.
( Serikali ni nani? Serikali ni watu. ), Africa kutuza miundombinu hatuwezi,Serikali ndio inajenga masoko nchi hii, sio wasela wanaokaa ghetto.
Hii nchi kuna watu wengi hawana akili, mateja, waliovurugwa na maisha na waliokosa kustaarabika kwa hiyo soko linapojengwa inabidi uweke na migambo pia kufanya ulinzi. Mbona ni akili ndogo sana hii isiyohitaji PhD!( Serikali ni nani? Serikali ni watu. ), Africa kutuza miundombinu hatuwezi,
1. nimeona masoko mengi sana yamejengwa lakini mtumiaji ndo Namba moja kuyabomoa
Kwamba taifa zima ni taifa la watu hovyo, wasiostaarabika, kupenda usafi au kufanya mambo kwa utaratibu na mpangilio kama binadamu wengine walioendelea??Hao viongozi wametoka miongoni mwetu. Tabia zao zinaakisi tabia za taifa zima. Tukianzia ngazi ya chini kabisa ni watu wachache mno wako tayari kufuata sheria. Majority tukiamua tufuate sheria tutaanza kutoa viongozi wazuri wanaofuata sheria.
Afghanistan toka waanze kuchimba mafuta yao, uchumi wao unakua kwa kasi sana.Afuganistani Ilikuwa kwenye vita tangu nazaliwa lakini bado wametuzidi kiuchumi..
Ndio ujue kuwa bado mko nyuma sana.Hii nchi ya Lebanon kila siku naisikia iko vitani na Waisraeli au migogoro ya siasa za ndani kwa ndani kati yao wenyewe ila nimeshangaa masoko yao yana tiles!
View attachment 3099323
Sisi tunashindwaje kuweka hata zege tu bila tiles kwa soko muhimu kama la Mabibo??
Masoko yote yalitakiwa yawekwe pavement blocks.
Hahah hii na pinga , pia sis kujifananisha na lebanon pia ni ufala ,kuna kipind Lebanon ilikua ndio Dubai apo middle east ,wakat sis tuna evelve very slow economically na mentally tuna evolve backwardAfuganistani Ilikuwa kwenye vita tangu nazaliwa lakini bado wametuzidi kiuchumi..
Pigia mstari. Si ndo sisi tunaowachoma moto wezi kwa kisingizio kuwa ni wananchi wenye hasira kali? Si ndo sisi tunaowaasa watoto wasome kwa bidii waje kupata kazi sehemu zenye marupurupu (ufisadi)? Si ndo sisi tukiona kijana anafanya kazi TRA/TPA/BOT halafu kakaa muda mrefu bila gari wala nyumba tunamwita mjinga na mzembe?Kwamba taifa zima ni taifa la watu hovyo, wasiostaarabika, kupenda usafi au kufanya mambo kwa utaratibu na mpangilio kama binadamu wengine walioendelea??
Migambo wanalinda 12 hours only, masaa yanayobaki ni free kwa watu wasio wema. Changamoto siyo ulizi bali ni asili ya kiafrica hatuwezi kutuza vitu vikadum kwa mda mrefu( huwa tunawaza ya leo tu)Hii nchi kuna watu wengi hawana akili, mateja, waliovurugwa na maisha na waliokosa kustaarabika kwa hiyo soko linapojengwa inabidi uweke na migambo pia kufanya ulinzi. Mbona ni akili ndogo sana hii isiyohitaji PhD!
Yapo mengi sana mkuu.. Wananchi Mpaka walambwe vilungu na migambo ndo hupata akili ya kwenda ndani ya soko.Masoko gani yamejengwa àmbayo wafanyabiashara hawataki kutumia?
GDP YA NGAPAfuganistani Ilikuwa kwenye vita tangu nazaliwa lakini bado wametuzidi kiuchumi..
Mwafrica na maendeleo na ustaarabu hawapatani. Mwafrica ni kama ng'ombe tu, ili mradi anazaliwa anaishi anakufa. Ukimletea mapicha picha sijui ya wapi huko, ulaya au nini atakuambia hatuigi hatucopy vya wenzetu tuna maisha yetu., siasa yetu nkHii nchi ya Lebanon kila siku naisikia iko vitani na Waisraeli au migogoro ya siasa za ndani kwa ndani kati yao wenyewe ila nimeshangaa masoko yao yana tiles!
View attachment 3099323
Sisi tunashindwaje kuweka hata zege tu bila tiles kwa soko muhimu kama la Mabibo??
Masoko yote yalitakiwa yawekwe pavement blocks.