Inawezekanaje masoko ya Lebanon yenye matatizo mengi hivi yana tiles ila yetu hayana!

Inawezekanaje masoko ya Lebanon yenye matatizo mengi hivi yana tiles ila yetu hayana!

Tufikie mahali tukubali ukweli, na ukweli huu utatuweka huru! kwamba waafrika hatuwezi kujitawala, na hata serikali tunazounda na viongozi wake wapo kwa maslahi binafsi na si dhamira ya kuyakomboa mataifa yao kiuchumi na kufukuza umaskini.
Hao viongozi wametoka miongoni mwetu. Tabia zao zinaakisi tabia za taifa zima. Tukianzia ngazi ya chini kabisa ni watu wachache mno wako tayari kufuata sheria. Majority tukiamua tufuate sheria tutaanza kutoa viongozi wazuri wanaofuata sheria.
 
Serikali ndio inajenga masoko nchi hii, sio wasela wanaokaa ghetto.
( Serikali ni nani? Serikali ni watu. ), Africa kutuza miundombinu hatuwezi,

1. nimeona masoko mengi sana yamejengwa lakini mtumiaji ndo Namba moja kuyabomoa

2. Serikali inajenga masoko lakini watumiaji hawataki kutumia

= usafi unaaza kwa mtumiaji, hata ukipata kile kidogo kitadumu, ( siyo mara taa zimeibwa, mara nyaya za copper zimeibwa )
 
( Serikali ni nani? Serikali ni watu. ), Africa kutuza miundombinu hatuwezi,
1. nimeona masoko mengi sana yamejengwa lakini mtumiaji ndo Namba moja kuyabomoa
Hii nchi kuna watu wengi hawana akili, mateja, waliovurugwa na maisha na waliokosa kustaarabika kwa hiyo soko linapojengwa inabidi uweke na migambo pia kufanya ulinzi. Mbona ni akili ndogo sana hii isiyohitaji PhD!
 
Hao viongozi wametoka miongoni mwetu. Tabia zao zinaakisi tabia za taifa zima. Tukianzia ngazi ya chini kabisa ni watu wachache mno wako tayari kufuata sheria. Majority tukiamua tufuate sheria tutaanza kutoa viongozi wazuri wanaofuata sheria.
Kwamba taifa zima ni taifa la watu hovyo, wasiostaarabika, kupenda usafi au kufanya mambo kwa utaratibu na mpangilio kama binadamu wengine walioendelea??
 
Hii nchi ya Lebanon kila siku naisikia iko vitani na Waisraeli au migogoro ya siasa za ndani kwa ndani kati yao wenyewe ila nimeshangaa masoko yao yana tiles!
View attachment 3099323
Sisi tunashindwaje kuweka hata zege tu bila tiles kwa soko muhimu kama la Mabibo??
Masoko yote yalitakiwa yawekwe pavement blocks.
Ndio ujue kuwa bado mko nyuma sana.
Bongo hata kungekuwepo na tiles, bado mngepanga mboga na matunda sakafuni.
 
Afuganistani Ilikuwa kwenye vita tangu nazaliwa lakini bado wametuzidi kiuchumi..
Hahah hii na pinga , pia sis kujifananisha na lebanon pia ni ufala ,kuna kipind Lebanon ilikua ndio Dubai apo middle east ,wakat sis tuna evelve very slow economically na mentally tuna evolve backward
 
Kwamba taifa zima ni taifa la watu hovyo, wasiostaarabika, kupenda usafi au kufanya mambo kwa utaratibu na mpangilio kama binadamu wengine walioendelea??
Pigia mstari. Si ndo sisi tunaowachoma moto wezi kwa kisingizio kuwa ni wananchi wenye hasira kali? Si ndo sisi tunaowaasa watoto wasome kwa bidii waje kupata kazi sehemu zenye marupurupu (ufisadi)? Si ndo sisi tukiona kijana anafanya kazi TRA/TPA/BOT halafu kakaa muda mrefu bila gari wala nyumba tunamwita mjinga na mzembe?
 
Hii nchi kuna watu wengi hawana akili, mateja, waliovurugwa na maisha na waliokosa kustaarabika kwa hiyo soko linapojengwa inabidi uweke na migambo pia kufanya ulinzi. Mbona ni akili ndogo sana hii isiyohitaji PhD!
Migambo wanalinda 12 hours only, masaa yanayobaki ni free kwa watu wasio wema. Changamoto siyo ulizi bali ni asili ya kiafrica hatuwezi kutuza vitu vikadum kwa mda mrefu( huwa tunawaza ya leo tu)
 
Masoko gani yamejengwa àmbayo wafanyabiashara hawataki kutumia?
Yapo mengi sana mkuu.. Wananchi Mpaka walambwe vilungu na migambo ndo hupata akili ya kwenda ndani ya soko.
 
waliowanyima elimu pamoja wao wamepata lakini sio wastarabu,inadhihirisha ubovu wake ,aliyepata na asiyepata wanalingana
 
Hii nchi ya Lebanon kila siku naisikia iko vitani na Waisraeli au migogoro ya siasa za ndani kwa ndani kati yao wenyewe ila nimeshangaa masoko yao yana tiles!
View attachment 3099323
Sisi tunashindwaje kuweka hata zege tu bila tiles kwa soko muhimu kama la Mabibo??
Masoko yote yalitakiwa yawekwe pavement blocks.
Mwafrica na maendeleo na ustaarabu hawapatani. Mwafrica ni kama ng'ombe tu, ili mradi anazaliwa anaishi anakufa. Ukimletea mapicha picha sijui ya wapi huko, ulaya au nini atakuambia hatuigi hatucopy vya wenzetu tuna maisha yetu., siasa yetu nk
 
Kariakoo tu pale barabara zimejaa mashimo ya kutosha, ikinyesha mvua kidogo ni mabwawa ya kutosha, mtu unajiuliza watu weusi tuko timamu kichwani kweli?!
 
Back
Top Bottom