Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Nenda karipoti kituo chochote cha polisi kilicho karibu nawe.Hii ni sauti inadaiwa kuwa ya Ahmed Shabiby, mbunge wa Gairo , alipigiwa simu na Mwananchi kuhusu maendeleo lakini yeye akamtukana na anasikika akiagiza watu aliokuwa nao kwamba huyo mwananchi akamatwe a***** porini. Huyo mwananchi anaishi kwa mashaka sana kwa sasa
Huyu huwa anajifanya kukosoa mambo ya serikali haramu kimkakati lakini nyuma ya pazia ndio mfadhili mkubwa wa magenge ya waharifu.
Inji hii mikononi mwa wazee wa machinjioni....Yote haya kisa ametangaza kugombea Urais 2030. Mnaanza kumtengenezea zengwe.
Mwigulu wenu hawezi kufurukuta mbele ya Shabiby. Acheni siasa za maji taka
Uraisi au Urahisi wa kuteka watu???!!!!Yote haya kisa ametangaza kugombea Urais 2030. Mnaanza kumtengenezea zengwe.
Mwigulu wenu hawezi kufurukuta mbele ya Shabiby. Acheni siasa za maji taka
2030 ni Zamu ya wakatolikiYote haya kisa ametangaza kugombea Urais 2030. Mnaanza kumtengenezea zengwe.
Mwigulu wenu hawezi kufurukuta mbele ya Shabiby. Acheni siasa za maji taka
Mkatolik hata kama ni mbogamboga? Kwel Africa alieturoga kafa muda sana2030 ni Zamu ya wakatoliki
Kwani tunachagua papa?2030 ni Zamu ya wakatoliki
Aliekua anaongea ni mtu wa pembeni na naona km vile alikua ameacha kuongea na huyo jamaa kwenye simu akaweka simu pembeni wakawa wanaongea mambo mengine ni km amempuuzia maana nimesikia anasema kwenye hio audio hapo mwishoni "usijali wewe kushindwa bado... huyo anatakiwa akamatwe akashindwa kurudi nyumbani..." haya maneno hajayasema aliekua anaongea na simu ameyasema mtu aliekua anaongea pembeni sasa kwa nadharia ya haraka haraka huwezi sema walikua wanamuongelea aliekua anaongea kwenye simu mimi na wewe hatujui wakisema walikua wanataka kukamata kuku au mbuzi utakataa?Nimesikia akamatw akaflww
😄
Ova