GP
JF-Expert Member
- Feb 5, 2009
- 2,049
- 161
je unataka kuzidisha namba kwa 11, hujui table au huna calculator?.
usipate tabu.
chukua namba hiyo, itenge katikati, kisha chukua jumla ya digit hizo then unganisha pamoja.
mfano 1: 45 * 11
tenga 45: 4_5
chukua jumla : 4_(4+5)_5
: 4_9_5
unganisha : 495
mfano 2: 89 * 11
tenga 89: 8_9
chukua jumla >> 8_(8+9)_9
: 8_17_9 kwakua jumla ambayo ni 17 ina digit 2, tenga toka kulia acha digit moja yaani 1_7, chukua ya kushoto jumlisha kwa namba ya nje, yaani 1+8= 9
utapata: 9_7_9
jibu : 979
mfano 3: 122 * 11
tenga acha digit moja kulia : 12_2
chukua jumla : 12_(12+2)_2
: 12_14_2
tenga kati : 1_4, jumlisha ya kushoto kwa ya nje yaani 1+12=13
utapata : 13_4_2
jibu : 1342