CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
UV Sterilize inatumia ku disinfect incubator incubator yako bila kuhitajika kuiizima au ku swtich off, nililetewa 10 hivyo kwa atakaye hitaji kuna 5 za ziada, hii inasaidia sana kuongeza hatchibuility kwa wanao totolesha vifaranga