JINSI NILIVYOSETI JOTO NA KUOKOA MAYAI YA KUKU WANGU – W1219 ILIKUWA GAME CHANGER!
Wakuu habari za kazi na maisha,
Nimekuwa nikihangaika sana na control ya joto kwenye incubator yangu ya kutengeneza mwenyewe kwa Gharama nafuu kwa kutumia material yanayopatika katika mazingira ya nyumbani. Nilikuwa natumia timer na guesswork hadi nikapoteza batch mbili za mayai. Hapo ndipo niliposikia kuhusu
W1219 Digital Temperature Controller.
Nilinunua kifaa hiki mwaka jana mwanzoni (2024), nikakitumia kutengeneza
incubator yangu mwenyewe kwa gharama ndogo sana ukilinganisha na kununua incubator iliyo tayari sokoni.
W1219 imenisaidia kwa zaidi ya
batch 5 tofauti, na hadi leo bado
kinafanya kazi vizuri sana bila hitilafu — kina
piga kazi mfululizo.
Kifaa hiki ni compact, kinakuja na sensor ya joto na unaweza ku-
set point ya ku-control heater yako joto linalotakiwa ili kutotolesha mayai. Kinatoa
auto ON/OFF signal kwa kifaa kulingana na kiwango cha joto, kinajizima pale joto linapongezeka na kujiwasha pale joto linapopungua
automatically.
Kinatumia umeme mdogo sana, na kinaweza kufanya kazi kwenye incubator ya
mayai 30, 60, 90 au zaidi — kulingana na ukubwa wa boksi lako na mahitaji yako. Ukitengeneza mwenyewe, unajipunguzia gharama kubwa sana lakini bado unapata
results za kitaalamu.
Kwa mfugaji au mjasiriamali wa
KUKU, KANGA na hata BATA hiki kifaa kinaweza kukurahisishia maisha.
Nawapeni reference tu, kama kuna anayehitaji, ninaweza kusaidia na kifaa pia – najua jinsi ya kukitumia, kukiset, na hata kuunganisha. Kama kuna mtu anahitaji msaada wa kitaalamu au anataka kifaa hiki,
DM tuongee.
Hii ndio picha ya kifaa chenyewe:
Kama kuna mtu anahitaji settings zake au ana maswali juu ya matumizi, naweza kueleza kwa kina. Sijutii kuwekeza kwenye W1219, imenisaidia sana na nimeiona tofauti halisi kwa macho yangu.
Asanteni sana kwa kunisoma!
Tumia TEKNOLOJIA rahisi kutengeneza Mafanikio Makubwa