kijana wangu harmonize kaimba sehemu chache kwenye inde aliyoshirikishwa na dully ila katisha zaidi japo nasikia kwa mbali back voko za diamond sasa dully kazileta swaga zake za zamani kwenye hii nyimbo mistar pumba tupu badirika bro
Wacha kuzingus dully unapaswa kumpongeza
Katoka mbali
Amepambana na vikwazo na majaribu
Leo kumuona tena akituburudisha
Nijambo lakushukuru.
Hizo swaga ndizo zilizo itakbulisha bongo flava
Ulitaka na dully aige swaga za Diamond sio, dully yuko unique sana na anastahili heshima kwa kulinda na kudumisha style yake ya uimbaji, ss km nyie mmekalili swaga nzuri ni hizo za mondi tu kazi ipo ss
Chezea WCB wewe .......... toka lini nyimbo za Dully zikajadiliwa........lakini kitu kikitoka hapo lazima pawe na mjadala. Mwanangu Harmo umekubalika hadi wanakujadili.
Chezea WCB wewe .......... toka lini nyimbo za Dully zikajadiliwa........lakini kitu kikitoka hapo lazima pawe na mjadala. Mwanangu Harmo umekubalika hadi wanakujadili.