INDE napenda alipoimba Harmonize, Dully swaga zako za kizamani

INDE napenda alipoimba Harmonize, Dully swaga zako za kizamani

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
kijana wangu harmonize kaimba sehemu chache kwenye inde aliyoshirikishwa na dully ila katisha zaidi japo nasikia kwa mbali back voko za diamond sasa dully kazileta swaga zake za zamani kwenye hii nyimbo mistar pumba tupu badirika bro
 
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Wacha kuzingus dully unapaswa kumpongeza
Katoka mbali
Amepambana na vikwazo na majaribu
Leo kumuona tena akituburudisha
Nijambo lakushukuru.
Hizo swaga ndizo zilizo itakbulisha bongo flava
 
Dully anaswaga nzuri zaidi kwa mtazamo wangu tena za kipekee.
 
Ulitaka na dully aige swaga za Diamond sio, dully yuko unique sana na anastahili heshima kwa kulinda na kudumisha style yake ya uimbaji, ss km nyie mmekalili swaga nzuri ni hizo za mondi tu kazi ipo ss
 
Mi nimependa alivyoimba kile kibwagizo, Harmonize kaimba vizuri ila kaniudhi kumuiga sana Diamond
 
Nlimlaumu makonda alivyoshindwa kuwakamata mashoga,sasa nimeelewa,wapo wengi sana
 
Chezea WCB wewe .......... toka lini nyimbo za Dully zikajadiliwa........lakini kitu kikitoka hapo lazima pawe na mjadala. Mwanangu Harmo umekubalika hadi wanakujadili.
 
Back
Top Bottom