Hatumlaumu Marehemu na bado anabaki kwenye orodha ya wenye uthubutu.Hata hizi Helikopta na Ndege zinazotumika sasa,kuna watu walikufa mpaka kufanikiwa leo hii kua na vyombo hivyo vya usafiri,
Ajali kazini ni jambo la kawaida,inaweza kua kuna makosa ya kiufundi yalifanyika ila dogo kajitahidi,
Rest In Peace Hero.
Mkuu,kwa habari ilivyoletwa,hakuna ushahidi wowote kua Kijana hakushirikisha wataalamu,Hatumlaumu Marehemu na bado anabaki kwenye orodha ya wenye uthubutu.
Lakini kwa kuwa alichokuwa anakiunda tayari kilishawahi kuundwa tena na teknolojia imehsapiga sana hatua basi hakukuwa na tatizo kama angeshirikisha Mtaalamu mmoja wa eneo hilo.
Haswa kuhakiki hayo mapanga na huenda wangeng'amua haraka uwezekano wa kupata ajali.