India now is the Fifth largest economy in the World leapfrogged France and United Kingdom.

India now is the Fifth largest economy in the World leapfrogged France and United Kingdom.

Richard

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2006
Posts
15,692
Reaction score
23,038
India became fifth largest economy last year and today its economy expected to grow at 6.9 for 2023 fiscal year according to the IMF economic review.

India's status as the fifth largest economy is the world came following data from https://www.imf.org/external/datamapper/NGDPD@WEO/OEMDC/ADVEC/WEOWORLD.

Also according to world economic forum India is now the world’s 5th largest economy India has leapfrog France and UK by ranking its economy on the basis of its nominal GDP.

Despite this growth India is still facing challenges from sustaining its infrastructure apart from other factors which drive growth including urbanization and technologies. According to Mc Kinsley Global Institute https://www.mckinsey.com/featured-i...opportunities-for-growth-and-transformationto elevate people from poverty to empowerment.

India can still create more conducive economic environment for its economy to grow in five ways which are acceptable living standards, improving urban infrastructure and unlocking potential for women, empowering people from poverty, manufacturing for India which will create jobs for people and riding the digital wave which will help to rise productivity, improving efficiency across major sectors of economy and radically changing provision of services in areas of healthcare and education.

Unlocking potential for women who contribute 17 percent of GDP, and only 24 percent of its workforce India plans to improve its women workforce by closing the gap in education and inclusion in financial and digital aspects.

Source: IMF, World Economic Forum, India’s ascent: Five opportunities for growth and transformation

Read the full report here: India’s ascent: Five opportunities for growth and transformation
 
Haya hiyo ni India, na Russia iko wapi yenyewe.
Russia ni ya 9 kwa GDP yake yaani pato la ndani.

Ni ya sita kwa GDP (PPP)

Russia ni ya tano kwa ukubwa na jeshi na matumizi yake.

Russia ni nchi kubwa duniani ikiwa na watu milioni 145.275 source: Russian Federation and the IMF

Russia ni mwanachama wa kudumu katika baraza usalama la UN.

Russia ni mwanachama wa G20, BRICS, APEC, SCO, WTO, OCSE, CSTO na EAEU.

Watu wasoajiriwa ni asilimia 4.1

Russia ina akiba ya fedha ya kigeni ipatayo dola bilioni 540 inoifanya kuwa nchi ya tano duniani kwa akiba hiyo.

Watu wake wanofanya kazi ni asilimia 70 ya idadi ya watu wake (milioni 145) na kuifanya Russia iwe ni nchi ya sita kwa idadi hiyo duniani.

Mkuu, jifunze zaidi kuhusu Russia.
 
Uzuuri wa wahindi kwenye dini yao hawana uzombi wa kulazimishia wengine au kujilipua mabomu, wanapambana kivyao na mambo yao, tena ni wachapa kazi sana, huku Afrika wapo kote wanajituma kweli kweli, wao hata wakiwa top duniani hatutakua na hofu yoyote.
 
Yafikirisha sana kuona nchi ilokuwa koloni la muingereza kuja kuwapita kiuchumi wakoloni wake wa zamani.
 
Russia ni ya 9 kwa GDP yake yaani pato la ndani.

Ni ya sita kwa GDP (PPP)

Russia ni ya tano kwa ukubwa na jeshi na matumizi yake.

Russia ni nchi kubwa duniani ikiwa na watu milioni 145.275 source: Russian Federation and the IMF

Russia ni mwanachama wa kudumu katika baraza usalama la UN.

Russia ni mwanachama wa G20, BRICS, APEC, SCO, WTO, OCSE, CSTO na EAEU.

Watu wasoajiriwa ni asilimia 4.1

Russia ina akiba ya fedha ya kigeni ipatayo dola bilioni 540 inoifanya kuwa nchi ya tano duniani kwa akiba hiyo.

Watu wake wanofanya kazi ni asilimia 70 ya idadi ya watu wake (milioni 145) na kuifanya Russia iwe ni nchi ya sita kwa idadi hiyo duniani.

Mkuu, jifunze zaidi kuhusu Russia.
Hiyo GDP ya Russia inazidiwa na ile ya jimbo la Texas la kule Marekani ambayo ni jimbo la pili kwa utajiri ktk nchi hiyo...!!!
 
Hiyo GDP ya Russia inazidiwa na ile ya jimbo la Texas la kule Marekani ambayo ni jimbo la pili kwa utajiri ktk nchi hiyo...!!!
Hilo halina ubishi na Texas ni jimbo lililo ndani ya Marekani.

Ndo maana yaongoza kwa GSP (Gross State Product) na ambayo ndo kubwa kuliko GDP za Canada, Russia na Italy ambazio kwa GDP ni za 8, 9 na 10.

Texas ni kama vile wazungumzia jimbo la kaskazini ambalo litaunganisha Arusha, Tanga, Kilimanjaro, na mengine.

Hivyo Texas ni GSP zalisho la pato katika jimbo kwenye nchi.

Ila Texas ni jimbo la pili kwa GDP nchini Marekani baada ya California.

California ndilo jimbo lenye GDP kubwa na kama ingekuwa ni nchi basi California ingekuwa ya pili duniani baada ya Ujerumani na juu ya India.
 
Ukirudi kwenye GDP per capita utashangaa.
 
Back
Top Bottom