India: Taharuki baada ya wanaume 11 waliombaka mjamzito kuachiwa huru

India: Taharuki baada ya wanaume 11 waliombaka mjamzito kuachiwa huru

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
1660827613266.png


Kuachiliwa kwa wafungwa 11 waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha kwa ubakaji na mauaji nchini humo kumezusha maandamano, huku mwathiriwa wa ubakaji akitoa wito kwa Serikali kubatilisha uamuzi wake, akisema umetikisa imani yake katika haki

Bilkis Bano alikuwa na ujauzito wa miezi mitano wakati wa ghasia zilipotokea mwaka 2002 katika Jimbo la Gujarat, ambapo alibakwa na kundi la wanaume 11 huku wanafamilia 7 wakiuawa akiwemo bintiye aliyekuwa na umri wa miaka 3 wakati huo

Wanaume hao waliachiwa huru Agosti 15 baada ya Serikali ya jimbo kuidhinisha ombi lao la kuondolewa adhabu huku kuachiliwa kwao kukiambatana na Sherehe za Uhuru wa Nchi hiyo

................................................

The release of 11 convicts who had been sentenced to life imprisonment for gang rape and murder in India has triggered a chorus of protest, while the victim of the rape has urged the government to reverse its decision, saying it has shaken her faith in justice.

The attack on Bilkis Bano and her family was one of the most heinous that took place during deadly communal riots that wracked the western state of Gujarat two decades ago. Bano, who was five-months pregnant at that time, was brutally gang-raped. Seven other family members including her 3-year-old daughter were killed.

The 11 men walked out of jail in Gujarat’s Godhra town on Monday after the state government approved their application for remission of sentence. Their release coincided with India’s Independence Day celebrations.

“When I heard that 11 convicted men who devastated my family and life had walked free, I was bereft of words. I am still numb,” she said in a statement late Wednesday.

Source: VoA
 
Tukio kama halijawahi tokea Índia basi halitotokea sehemu yoyote duniani,jamaa wana matukio yao mengi kimtindo
Z
 
Ukiangalia alivyovaa tu na hilo jina utajua kwann mahakama wameamua kubatlisha hio hukum
 
Back
Top Bottom