India: Watu wenye silaha wamewaua watu saba waliokuwa wakifanya kazi kwenye mradi wa ujenzi wa handaki muhimu linalosimamiwa na India, Kashmir

India: Watu wenye silaha wamewaua watu saba waliokuwa wakifanya kazi kwenye mradi wa ujenzi wa handaki muhimu linalosimamiwa na India, Kashmir

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mambo yanazidi kuwa moto kwenye baadhi ya mataifa. Matukio ya kuuwana yamendele kushika kasi sana

Watu wenye silaha wamewaua watu saba waliokuwa wakifanya kazi kwenye mradi wa ujenzi wa handaki muhimu katika eneo linalosimamiwa na India, Kashmir, na kuwajeruhi wengine watano, maafisa wanasema. Hii ni miongoni mwa mashambulizi mabaya zaidi katika eneo hilo lenye mgogoro mwaka huu yaliyoelekezwa kwa raia.
====================
Gunmen have killed seven people working on a strategic tunnel project in Indian-administered Kashmir and injured at least five others, officials say, in one of the worst attacks in the disputed region this year targeting civilians.

Snapinsta.app_464175691_1022980069599587_7051269530408732169_n_1080.jpg
 
Sababu ya kuua wenzao hasa ni nini?Tatizo bangi mbichi na madawa mengi ya kulevya hupatikana na kutumiwa kwa urahisi nchi hizo ndiyo maana hawatofautishiki na vichaa mf.Pakistan,Afghanistan,India nk.
 
Back
Top Bottom