Kida ze great
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 242
- 288
Leo unajikana mwenyewe 😳😳 zile news za BRICS na de-dollarization ulikuwa una muandikia nani humu?Hakuna ukweli wa hii habari
Uwe unajifunza kutofautisha habari za kweli na za uongo kwenye mitandao.
Kwanza BRICS haijawahi kupanga kuwa na sarafu