India yamchoka Putin, yamuagiza aache vita

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Maswahiba wa Putin wameanza kuchoka kumsubiri, walitegemea ataparamia Ukraine kwa siku chache ila kwa ambavyo anapokea za uso, wameanza kumsema sema. India imejitokeza wazi, bado China na Iran, sema kwa China mnufaika wa hivi vita itaendelea kuomba visiishe.

Iran haiwezi kubadilisha msimamo maana inaongozwa kwa mihemko ya kidini na chuki dhidi ya Marekani.

The leaders of Turkey and India both called on Putin to end the war in Ukraine at an international summit on Friday, with the Russian President vowing to end the conflict "as soon as possible."

During a two-day Shanghai Cooperation Organisation summit with eastern allies in Uzbekistan, Vladimir Putin promised his Indian counterpart Narendra Modi that he would do everything he can to end Moscow's assault on Ukraine.

“I know [where] you stand on the conflict in Ukraine and the concerns that you have repeatedly voiced,” he told Modi. “We will do all we can to end that as quickly as possible."

"Regrettably, the other side, the leadership of Ukraine, has rejected the negotiations process and stated that it wants to achieve its goals by military means on the battlefield,” he added.

Ukraine, for its part, has blamed Russia for the current failure to bring a non-violent end to the war.

Euro News
 
Swali ni kwamba anamaliza vita kwa njia ipi kati ya hizi tatu.

***kumaliza kwa njia ya mazungumzo?

***kumaliza kwa kuliamuru jeshi lake lirudi Urusi kuendelea kunywa vodka?

Au ***Kumaliza kwa kuipiga Ukraine na kuangamiza utawala wa dogo Zele ndani ya dakika tatu?

Putin ni mpumbavu asiye na akili kabisa [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Maswahiba wa Putin wameanza kuchoka kumsubiri, walitegemea ataparamia Ukraine kwa siku chache ila kwa ambavyo anapokea za uso, wameanza kumsema sema. India imejitokeza wazi.... bado China na Iran, sema kwa China mnufaika wa hivi vita itaendelea kuomba visiishe...
Iran haiwezi kubadilisha msimamo maana inaongozwa kwa mihemko ya kidini na chuki dhidi ya Marekani.

The leaders of Turkey and India both called on Putin to end the war in Ukraine at an international summit on Friday, with the Russian President vowing to end the conflict "as soon as possible."

During a two-day Shanghai Cooperation Organisation summit with eastern allies in Uzbekistan, Vladimir Putin promised his Indian counterpart Narendra Modi that he would do everything he can to end Moscow's assault on Ukraine.

“I know [where] you stand on the conflict in Ukraine and the concerns that you have repeatedly voiced,” he told Modi. “We will do all we can to end that as quickly as possible."

"Regrettably, the other side, the leadership of Ukraine, has rejected the negotiations process and stated that it wants to achieve its goals by military means on the battlefield,” he added.

Ukraine, for its part, has blamed Russia for the current failure to bring a non-violent end to the war.
Safi Sana Ukraine,lazima wavamizi wafurushwe kama walivyoingia..

Na huyu mpuuzi wa Russia anatakiwa kulipa fidia ya uhalibifu na kujenga upya Ukraine kwa sababu kisingizio chake hakijatimia na Sasa Ukraine itajiunga NATO bila vikwazo tena..
 
Swali ni kwamba anamaliza vita kwa njia ipi kati ya hizi tatu.

***kumaliza kwa njia ya mazungumzo?

***kumaliza kwa kuliamuru jeshi lake lirudi Urusi kuendelea kunywa vodka?

Au ***Kumaliza kwa kuipiga Ukraine na kuangamiza utawala wa dogo Zele ndani ya dakika tatu?

Putin ni mpumbavu asiye na akili kabisa [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Hajui nin anataka
 
Tatizo lako Wewe kurudiarudia nyuzi walizoripoti wenzako.. hii taarifa tumeijadili Sana humu!! Wahusika unganisha huu uzi na ule wa "Modi amchana live Putini"
 
Swali ni kwamba anamaliza vita kwa njia ipi kati ya hizi tatu.

***kumaliza kwa njia ya mazungumzo?

***kumaliza kwa kuliamuru jeshi lake lirudi Urusi kuendelea kunywa vodka?

Au ***Kumaliza kwa kuipiga Ukraine na kuangamiza utawala wa dogo Zele ndani ya dakika tatu?

Putin ni mpumbavu asiye na akili kabisa [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Operation imeshafeli hii....huyu Mzee alichemsha kuanzisha Vita.
 
Swali ni kwamba anamaliza vita kwa njia ipi kati ya hizi tatu.

***kumaliza kwa njia ya mazungumzo?

***kumaliza kwa kuliamuru jeshi lake lirudi Urusi kuendelea kunywa vodka?

Au ***Kumaliza kwa kuipiga Ukraine na kuangamiza utawala wa dogo Zele ndani ya dakika tatu?

Putin ni mpumbavu asiye na akili kabisa [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Putin imeshakula kwake. Hizo njia zote ni za moto na aibu kwake.
 
Back
Top Bottom