Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
| Aina ya Shughuli | Hali Baada ya Sheria (Agosti 2025) |
|---|---|
| Michezo ya mtandaoni ya pesa halisi | Imepigwa marufuku kitaifa |
| Esports / michezo ya kijamii bila pesa | Inaruhusiwa kwa mfumo wa usajili tu |
| Malipo & matangazo | Yamepigwa marufuku |
| Adhabu | Hadi miaka 3 gerezani / faini ya ₹1 crore |
Unalipa kodi kiasi gani mkuu, ili tufungie kampuni za bettingTanganyika bahati mbaya! Huku bado Sana!
Kuna mpaka bodi ya michezo hiyo ya kamari.Tanganyika bahati mbaya! Huku bado Sana!
TanganyikaTanganyika bahati mbaya! Huku bado Sana!