Labda hujaelewa andiko au tafuta mtu akutafsirie.Hili limekuja baada ya Iran kuiuzia Pakistan hasimu wa India makombora
Mfumo wa kuzuia makombora wa Israel wa Iron Dome umethibitika kuwa dhaifu
😅😅😅
Iron Dom haizuii makombola ya masafa marefu, inazuia makombora ya masafa mafupi kutoka Gaza na LebanonHili limekuja baada ya Iran kuiuzia Pakistan hasimu wa India makombora
Mfumo wa kuzuia makombora wa Israel wa Iron Dome umethibitika kuwa dhaifu
😅😅😅
Kwa anayefahamu geopolitcs kinachoendelea kati ya Pakistan na Iran au India na Pakistan hakupaswa kusema hiviLabda hujaelewa andiko au tafuta mtu akutafsirie.
Mataifa mengi yamevutiwa na huo uwezo wa Israel, yaani ile aibu waliyotia Iran imesababisha makombora yao yapate soko sana.
Shukrani Israel kutuheshimisha.
Ikumbukwe wao walijibu kwa kombora moja tu na likapiga haswa.
Akili na mipango ya kuitumia iyo akiliHili tukio yafaa liingizwe kwenye maajabu saba ya dunia
Israeli inawezaje kufanya haya?
Duh 🙄 !Kweli kabisa Israel ni noma kwa kugundua teknolojia ya kujilinda hiitwayo Marekani , Uingereza, Ufaransa na Jordan.
India wawe makini wasije wakaingia cha kike .maana tumeona ni wiki chache tu zimepita Muirani kamtoa kamasi muisraeli na hajajibu mpaka leo.
Comment niliyokuwa naitafutaKweli kabisa Israel ni noma kwa kugundua teknolojia ya kujilinda hiitwayo Marekani , Uingereza, Ufaransa na Jordan.
Sisi tutatue kwanza tatizo la kishindwa kuhoji maana linaanzia kwenye ngazi ya familiaUzuiaji wa makombora ya Iran 110 yaliyofanywa na Israel majuzi imeishtua dunia nzima. Hata hivyo kwa India tukio hili lina umuhimu wa kipekee kabisa kwa kuzingatia ushirikiano kati ya Israel na India katika teknolojia ya ulinzi na ya makombora ya kujihami.
Shauku ya India kuhusiana na tukio hili la Israel kuweza kuzuia makombora ya Iran inatokana na nia yake ya kutaka kuimarisha ulinzi wake dhidi ya makombora ya masafa marefu.