India yavutiwa na tekinolojia ya Israel katika kupambana na makombora ya masafa marefu

India yavutiwa na tekinolojia ya Israel katika kupambana na makombora ya masafa marefu

Inamaana hawanahabari na msaada walioupata hao israel wa kuyadungua?
 
Uzuiaji wa makombora ya Iran 110 yaliyofanywa na Israel majuzi imeishtua dunia nzima. Hata hivyo kwa India tukio hili lina umuhimu wa kipekee kabisa kwa kuzingatia ushirikiano kati ya Israel na India katika teknolojia ya ulinzi na ya makombora ya kujihami.

Shauku ya India kuhusiana na tukio hili la Israel kuweza kuzuia makombora ya Iran inatokana na nia yake ya kutaka kuimarisha ulinzi wake dhidi ya makombora ya masafa marefu.

Cha ajabu israel yeye kapongeza muingereza na marekani kwa msaada mkubwa india kaingia chaka la fungo anatoka na hatufu tu!
 
Vipi kuhusu milipuko iliyotokea kule iran kwenye ule mji wa vituo vya ki nuclear
Lete taarifa moja tu rasmi ya eneo ulipotokea mlipuko ndani ya iran kwenye ardhi ya iran shambulio lililofanywa na Israeli. Nakuahidi nakupa laki moja (100,000). Nipo siriaz sitanii

Utakua unazungumzia ile quardcopter drone kama zile za milard ayo iliyokua target ya Air defense ya iran .ambayo ilipotezwa juu kwa juu.
 
Alafu wenyewe Israel wameshaanza kuboresha(upgrading) mifumo Yao ya ulinzi hasa kwenye speed, detect na kuipa nguvu zaidi katika intercepting...
Hivisasa watalaamu wao wapo field wakibuni namna Bora zaidi kwenye kujilinda na makombora mazito kama hypersonic na kamikazes
Siku wakituchokoza tu tunamwita Muuza Madafu anawaua wote, Watashaa na roho zao
 
Hiyo Iron dome ni failure imeshindwa kulinda maeneo yote muhimu.

Kambi zote muhimu zilipigwa.

Kumbuka ni muunganiko wa nchi Tano na ndege F 16 ndio zilizoilinda Israel na sio uwezo wa iron dorme.

Ni aibu watu kushabikia jambo bila kulifatilia
 
Iron dome imejitahidi sana kupangua kumbuka mzigo alioutuma iran ni mkubwa sanaa na ni mzito
 
Uzuiaji wa makombora ya Iran 110 yaliyofanywa na Israel majuzi imeishtua dunia nzima. Hata hivyo kwa India tukio hili lina umuhimu wa kipekee kabisa kwa kuzingatia ushirikiano kati ya Israel na India katika teknolojia ya ulinzi na ya makombora ya kujihami.

Shauku ya India kuhusiana na tukio hili la Israel kuweza kuzuia makombora ya Iran inatokana na nia yake ya kutaka kuimarisha ulinzi wake dhidi ya makombora ya masafa marefu.

kwa ajili ya Pakistan bila shaka. Ila zamani nilikuwa nadhani waislam tu ndio wana misimamo mikali, nimekuja kugundua watu wenye misimamo mikali kuliko wote ni wahindu na wabudha. wahindi wanawaonea sana waislam huko india, hadi waislam hawana hata hamu ya kujitoa mhanga kwasababu wahindu ni extremists mara mia ya waislam, wakikinukisha hawana mchezo hadi watoto wa jihad wamefyata mkia kabisa. wanatuoneaga tu sisi wakristo hawa kumbe.
 
Hiyo Iron dome ni failure imeshindwa kulinda maeneo yote muhimu.

Kambi zote muhimu zilipigwa.

Kumbuka ni muunganiko wa nchi Tano na ndege F 16 ndio zilizoilinda Israel na sio uwezo wa iron dorme.

Ni aibu watu kushabikia jambo bila kulifatilia
Watu hawajui hilo waambie ndege kama 30 hivyo zilichangia kupunguza hiyo shida makombora yaliyofika kwenye anga ya Israeli haufiki hata 60 mingi yalitunguliwa nje huko na manege pamoja na mifumo ya meli air defence hazikuwa exposed vya kutosha kupima uhalisia
 
Kweli kabisa Israel ni noma kwa kugundua teknolojia ya kujilinda hiitwayo Marekani , Uingereza, Ufaransa na Jordan.
Hiitwayo? Shule ni muhimu sana. Wengine mkiambiwa mkasome mnakuwa wabishi
 
Hili limekuja baada ya Iran kuiuzia Pakistan hasimu wa India makombora

Mfumo wa kuzuia makombora wa Israel wa Iron Dome umethibitika kuwa dhaifu

😅😅😅
Waache wenzako wajifariji yaani mtu kapgwa target za kutosha huku anasidiwa kuzuia makombora na Uk+Usa+France+Jordan halafu unakuja hapa kusifia iron dome na huo usaidizi wote na missiles zilizokusudiwa zimegonga target hayo waliyotungua ni decoys
 
Watu hawajui hilo waambie ndege kama 30 hivyo zilichangia kupunguza hiyo shida makombora yaliyofika kwenye anga ya Israeli haufiki hata 60 mingi yalitunguliwa nje huko na manege pamoja na mifumo ya meli air defence hazikuwa exposed vya kutosha kupima uhalisia
 
Hili limekuja baada ya Iran kuiuzia Pakistan hasimu wa India makombora

Mfumo wa kuzuia makombora wa Israel wa Iron Dome umethibitika kuwa dhaifu

😅😅😅
Isitoshe alimia kubwa waliozipiga NI Morocco America uingereza Israel Hana ubavu wowote aliona wapalestina alimia kubwa wanatumia manati akajua na Iran NI hivyo ikiwa ana ubavu atume kombora iran tutajua nani anauwezo hata akiwategemea mabwana zake America na uingereza aguse Iran aone mvua ya hypersonic
 
Back
Top Bottom