India yavutiwa na tekinolojia ya Israel katika kupambana na makombora ya masafa marefu

Yani nchi tano zimeungana kuzuia iran, ukiacha hivi vipropaganda huyu israel ni mweupe sana ni maneno mengi tu
 

Attachments

  • Screenshot_20240429-145226_Chrome.jpg
    245.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240429-145301_Chrome.jpg
    458.2 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240429-145316_Chrome.jpg
    378.6 KB · Views: 2
Hiitwayo? Shule ni muhimu sana. Wengine mkiambiwa mkasome mnakuwa wabishi
Sasa kati yangu na ww uliye shindwa kungamua coment ambayo hata mtoto wa chekechea anaweza kuingamua nani anatakiwa kurudi shule?
 
Hivi kosa msaada wa hizo nchi 4 wangeacha mzigo wote uingie Israel iron dome ingemudu kweli?
Sipati picha hali ingekuaje
 
Hayo aliyahubiri Zumaridi mwenyewe au msaidizi wake?
 
Makombora yalishusha na wamarekani, waingereza na wafaransa ndege zao na manowari zao ndo zilifanya hiyo kazi kwa kiasi kikubwa..makombora mengine wasaudia, Jordan wakitumia mifumo ya kimarekani.
Israel mfumo wake hasa ni kujilinda na makombora madogo ya wanamgambo wa kipalestina na Lebanoni sio vitu vizito.
Mahasimu wakubwa wa India ni China na Pakistani..sasa hawa wanavitu vizito sio kama wanamgambo wa kipalestina thus huo mfumo kwao ni zero..wangeishaupata siku nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…