Indiana yapokea Malipo ya mwisho ya Dola za Kimarekani Milioni 30 Kutoka Tanzania

Indiana yapokea Malipo ya mwisho ya Dola za Kimarekani Milioni 30 Kutoka Tanzania

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mwaka jana, kampuni ya Indiana Resources ilifikia mafanikio makubwa baada ya Serikali ya Tanzania kukubali kulipa fidia ya Dola za Kimarekani milioni 90 (sawa na Dola za Australia milioni 137), kufuatia kisitishwa kwa haki zake katika mradi wa uchimbaji wa madini ya nickel sulphide wa Ntaka Hill kinyume cha sheria.

Kiasi hicho kinawakilisha asilimia 82.5 ya jumla ya Dola milioni 109 za Kimarekani zilizokuwa zimeamriwa na Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Migogoro ya Uwekezaji (ICSID). Kituo hicho kilibaini kuwa mali ya Ntaka Hill – ambayo ilikuwa tayari kwa hatua za maendeleo ikiwa na rasilimali ya JORC ya tani milioni 56.2 zenye viwango vya 0.63% nickel, 0.14% copper, na 0.02% cobalt – ilitaifishwa kinyume cha sheria.

Kundi la walalamikaji, ambapo Indiana Resources (ASX:IDA) ni mshirika mkuu, sasa limepokea awamu ya mwisho ya malipo kutoka kwa Serikali ya Tanzania yenye thamani ya Dola za Kimarekani milioni 30.

Indiana Resources imewasilisha maombi kwa Mamlaka ya Ushuru ya Australia (ATO) ili kuruhusiwa kufanya malipo kwa wanahisa wake kama marejesho ya mitaji, yenye thamani ya juu zaidi ya Dola za Australia milioni 32.4. Kampuni inalenga kukamilisha malipo hayo kwa wanahisa wake kabla ya tarehe 30 Juni, 2025, huku maelezo kamili ya kiasi na ratiba yakitarajiwa kutangazwa hivi karibuni.
==================

Last year, Indiana Resources reached a monumental milestone after the Tanzanian Government agreed to pay US$90m ($137m) as settlement for its unlawful expropriation of the Ntaka Hill nickel sulphide project.

The figure represents 82.5% of the original US$109m awarded by the International Centre for Settlement of Investment Disputes, which had ruled that Ntaka Hill – an advanced, development-ready asset with a JORC resource of 56.2Mt at 0.63% nickel, 0.14% copper and 0.02% cobalt – was unlawfully expropriated.

The claimant group, of which Indiana Resources (ASX:IDA) is a major shareholder, has now received the final tranche payment of US$30m from the country.

Indiana has applied for an Australian Taxation Office ruling to make a payment to shareholders as a capital return, with the maximum amount of A$32.4m. It is targeting a return to shareholders before June 30, 2025, with details of the amount and timeline to be confirmed.
 
Tutazipata kupitia misaada, unalipa mkono wa kulia tunapokea mkono wa kushoto.
 
Na kuna watu wanashinda na kofia vichwani kukusanya taarifa kwenye vijiwe huku wakiacha mambo makubwa na watu wachache kulitia hasara taifa na wakiendelea kutamba bila kuchukuliwa hatua yeyote.
 
Ni deal kama deal nyingine kuna mgao lazima utoke. Mkuu weka hizoo figure kwa tsh billion 225
 
Wazungu wanakamua tu madufe toka shit-holeni wanavyotaka
 
Madini yetu tunasasitisha tunawalipa tena,au ndo michezo ya Dili za wabongo
 
Km ulikwepa hisabati si utulize hayo makalio yako? Au yanawasha sana? USD 30M kwa exchange rate ipi inafikia TZS 225 Billioni? Au ubwege
Unamtukana bure tu jamaa. Bora uhifadhi matusi yako ili uyatumie sehemu yatakapohitajika sana

Indiana walikubaliana na Serikali ya Tanzania kulipwa fidia ya Tshs. 237 Bil kwa hiyo jamaa yupo sahihi
The Chanzo
Tanzania Agrees to Pay Indiana Resources Sh. 237 Billion Over ICSID ...
 
MIKATABA MINGI ILIVUNJWA WAKATI WA AWAMU YA UONGOZI YA MWINGINE LAKINI MZIGO WA MADENI KULIPA MIKATABA ILIYOVUNJWA ANABEBESHWA MWINGINE
 
Na kuna watu wanashinda na kofia vichwani kukusanya taarifa kwenye vijiwe huku wakiacha mambo makubwa na watu wachache kulitia hasara taifa na wakiendelea kutamba bila kuchukuliwa hatua yeyote.
Viongozi wa CCM ni vibaka hatari kuliko wezi wa kuku.
 
Back
Top Bottom