hahahahaha we unawaza maembe tu wakat mna import maembe toka TZ
labda we unavyo fikiria na ss miji yetu mikuu ina hadhii gani.? embu tuelezee ktk kichwa chako unapicha gan kuhusu miji ya TZ ? naona iyo clip ya mji wa mombasa ndio umeona ni kalii sanaa ..bro the only thing that we don't have here is TRIBALISM the rest we have and we will
labda we unavyo fikiria na ss miji yetu mikuu ina hadhii gani.? embu tuelezee ktk kichwa chako unapicha gan kuhusu miji ya TZ ? naona iyo clip ya mji wa mombasa ndio umeona ni kalii sanaa ..bro the only thing that we don't have here is TRIBALISM the rest we have and we will
What is Aatcl?This looks like a response to atcl.
Wahindi si watu wazuri
Hahaha ,you're exposing your ignorance kabisa .Mwenye ujuzi wa usafiri wa ndege hawezi argue hivyo sababu anajua kuna layovers na flight schedules huwa haziambatani wakati wote ....sio kama daladala za Tz. And yes ,they do know muda wa kufika na kuondoka (this last issue tells me you know not what you're talkin about)
Tunazijua figisu zenu ndiyo maana tumeamua kwenda kwingine kwanza, maana mnaweza hata kutoa magurudumu.Umeskia wapi Kq wakilalamika? Hasara ni nyinyi na hizo ndege zenu useless. Ndege ya Uganda inaanza kusafiri Nairobi Kwanza na nyinyi uwivu imewakimbiza Kampala [emoji23][emoji23][emoji23] Start with the main hub Nairobi ndio ndio mjulikane.
kama KQ hawakuwa na route ya MUMBAI ni wazi wame bugi sanaa kukimbilia US na kusahau soko la asia mashariki hasa india
Umeskia wapi Kq wakilalamika? Hasara ni nyinyi na hizo ndege zenu useless. Ndege ya Uganda inaanza kusafiri Nairobi Kwanza na nyinyi uwivu imewakimbiza Kampala [emoji23][emoji23][emoji23] Start with the main hub Nairobi ndio ndio mjulikane.
Good for you and good riddance for our KQ wewe unaeza haribu ndege zetu vile nimeona ukishtumu Kenya mara nyingi na kuitakia mabaya wakati wote.We'll now get 40 Indian customers just to replace you.ahaa haaa
mmezoezwa na KQ ndo maana. Tangu wa over book nilivyofika Schipho Amsterdam, sijawahi panda tena KQ, sasa napanda 5 star flights such as Emirates, Qatar etc. Nyinyi mmezoea kukaa uwanjani more than 6 hrs kusubiri ku change flight.. Sisi tulihama huko.
Ni sawa na kutuambia kuwa..."Mnakula inje ya hoteli ndio msilipe".[emoji19][emoji19][emoji19]Tunazijua figisu zenu ndiyo maana tumeamua kwenda kwingine kwanza, maana mnaweza hata kutoa magurudumu.
Good for you and good riddance for our KQ wewe unaeza haribu ndege zetu vile nimeona ukishtumu Kenya mara nyingi na kuitakia mabaya wakati wote.We'll now get 40 Indian customers just to replace you.
You maiin airport JNIA handls 2.4m passengers, Moi Airport handles 1.4m ...TafakariWho travels to Mombasa?
Hizi route zote umetaja hazifanyi kazi sembuse Chato??😭😭Hii ni competion kati ya Air India na KQ...Air India wanataka wa tap wateja amabyo KQ inawabeba from JKIA...sisi Tz tuna deal na wa Tz na connection zetu kama Harare,Lusaka,Joburg ,Bujumbura na Entebbe
KQ tayari Wana route yao ya Delhi na Mumbai 😋Kwanini KQ wasiende India moja kwa moja kuliko kusifia India Air kuchukua fursa
KQ iko na 7 direct flights a week to Delhi and Mumbai, tena tuko na code share agreement na national airline yao kumaanisha wakianzisha safari zakuja huku, India Air wanaweza kutangaza kwamba wanasafiri hadi Tanzania kupitia Nairobi... Lakini reality itakua unaingia India Air ukifika Nairobi unageuziwa ndege na kuingizwa ndani ya KQ hadi huko Tz... Vile vile pia KQ itawea kusema inasafiri miji yote huko India lakini wakishafika Mumbai au Delhi unaingizwa kwa ndege ya India hadi huko uendakoKwanini KQ wasiende India moja kwa moja kuliko kusifia India Air kuchukua fursa
Unakula bangi wewe ..route zote zinafanya kazi hizoHizi route zote umetaja hazifanyi kazi sembuse Chato??[emoji24][emoji24]