India’s national airline set to start direct flights to Nairobi

India’s national airline set to start direct flights to Nairobi

Naona umeshaipenda...mkiambiwa mombasa sio size yenu mnapinga...haya leta arusha,mwanza,mbeya,dodoma, unitafutie kitu km hicho..ukipata na log off jf[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
labda we unavyo fikiria na ss miji yetu mikuu ina hadhii gani.? embu tuelezee ktk kichwa chako unapicha gan kuhusu miji ya TZ ? naona iyo clip ya mji wa mombasa ndio umeona ni kalii sanaa ..bro the only thing that we don't have here is TRIBALISM the rest we have and we will
 
Then..usisahau uchawi...hyo mko namba moja duniani
labda we unavyo fikiria na ss miji yetu mikuu ina hadhii gani.? embu tuelezee ktk kichwa chako unapicha gan kuhusu miji ya TZ ? naona iyo clip ya mji wa mombasa ndio umeona ni kalii sanaa ..bro the only thing that we don't have here is TRIBALISM the rest we have and we will
 
Hahaha ,you're exposing your ignorance kabisa .Mwenye ujuzi wa usafiri wa ndege hawezi argue hivyo sababu anajua kuna layovers na flight schedules huwa haziambatani wakati wote ....sio kama daladala za Tz. And yes ,they do know muda wa kufika na kuondoka (this last issue tells me you know not what you're talkin about)

ahaa haaa
mmezoezwa na KQ ndo maana. Tangu wa over book nilivyofika Schipho Amsterdam, sijawahi panda tena KQ, sasa napanda 5 star flights such as Emirates, Qatar etc. Nyinyi mmezoea kukaa uwanjani more than 6 hrs kusubiri ku change flight.. Sisi tulihama huko.
 
Umeskia wapi Kq wakilalamika? Hasara ni nyinyi na hizo ndege zenu useless. Ndege ya Uganda inaanza kusafiri Nairobi Kwanza na nyinyi uwivu imewakimbiza Kampala [emoji23][emoji23][emoji23] Start with the main hub Nairobi ndio ndio mjulikane.
Tunazijua figisu zenu ndiyo maana tumeamua kwenda kwingine kwanza, maana mnaweza hata kutoa magurudumu.
 
kama KQ hawakuwa na route ya MUMBAI ni wazi wame bugi sanaa kukimbilia US na kusahau soko la asia mashariki hasa india

Hata Miradi mingi ya Kenya hufanywa kwa Kuangalia sifa zaidi, Wala sio viability, Lengo lao kubwa huwa ni being No.1 in Africa, Hata kama Hailipi,
Mfano,
Wamekopa mabilioni ya Pesa Kujenga reli, Kwa kuweka rehani Bandari ya Mombasa, Tazama sasa Reli imekomea maporini, inaleta hasara kila siku na mchina anataka kutaifisha Bandari,

Walidhamiria Kujenga Bandari yenye kina kirefu Zaidi Africa, Wakakopa hela uchina na kuanza Ujenzi kule Lamu, But ukweli ni Kuwa Lamu hakuna hata Barabara za Lami na ni sehemu maskini sana, Ile bandari itakuwa iddle mpaka itachakaa.

Route yao ya KQ ya New York, Ndege inaenda na Abiria 6,
Imagine, Lengo lao kubwa ilikuwa ni kuwa na Destination ya Jiji kubwa Kama New York whether Italeta Faida or Not,

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Isiolo, Unaambiwa mapaa yameanza kutoboka, Hakuna ndege huko imetua mwaka sasa,

Unenzi wa Bomba la Mafuta la Turkana, Mafuta yaliyoko huko ni kiduchu sana, Maroli 10 tu yanaweza maliza mzigo wote, Ila majamaa yanataka kujenga Pipeline, Mradi tu wawe na Pipeline whether ni Viabile or vyovyote Vile,

Mifano ni Mingi Sana..
 
Umeskia wapi Kq wakilalamika? Hasara ni nyinyi na hizo ndege zenu useless. Ndege ya Uganda inaanza kusafiri Nairobi Kwanza na nyinyi uwivu imewakimbiza Kampala [emoji23][emoji23][emoji23] Start with the main hub Nairobi ndio ndio mjulikane.

A reason mnafeli, business is mainly strategy msee, sio kukomaa na New York Route halafu ndege inaenda na Abiria 6
 
ahaa haaa
mmezoezwa na KQ ndo maana. Tangu wa over book nilivyofika Schipho Amsterdam, sijawahi panda tena KQ, sasa napanda 5 star flights such as Emirates, Qatar etc. Nyinyi mmezoea kukaa uwanjani more than 6 hrs kusubiri ku change flight.. Sisi tulihama huko.
Good for you and good riddance for our KQ wewe unaeza haribu ndege zetu vile nimeona ukishtumu Kenya mara nyingi na kuitakia mabaya wakati wote.We'll now get 40 Indian customers just to replace you.
 
Hii ni competion kati ya Air India na KQ...Air India wanataka wa tap wateja amabyo KQ inawabeba from JKIA...sisi Tz tuna deal na wa Tz na connection zetu kama Harare,Lusaka,Joburg ,Bujumbura na Entebbe
 
Imagine ku connect from Harare to Mumbai via Dar is cheap compared to Via Nairobi..hapo wahindi wa Zimbabwe na Zambia tunawanyakua..na Joburg
Screenshot_20190724-025400.jpg
Screenshot_20190724-025308.jpg
 
Good for you and good riddance for our KQ wewe unaeza haribu ndege zetu vile nimeona ukishtumu Kenya mara nyingi na kuitakia mabaya wakati wote.We'll now get 40 Indian customers just to replace you.

Ahaa haa,
No one is talking about already wretched airline.
No wonder your government needs it to put under her control.
KQ is a failed airline from a failed state.
5 year now still stuck in loss.
 
Hii ni competion kati ya Air India na KQ...Air India wanataka wa tap wateja amabyo KQ inawabeba from JKIA...sisi Tz tuna deal na wa Tz na connection zetu kama Harare,Lusaka,Joburg ,Bujumbura na Entebbe
Hizi route zote umetaja hazifanyi kazi sembuse Chato??😭😭
 
Kwanini KQ wasiende India moja kwa moja kuliko kusifia India Air kuchukua fursa
KQ iko na 7 direct flights a week to Delhi and Mumbai, tena tuko na code share agreement na national airline yao kumaanisha wakianzisha safari zakuja huku, India Air wanaweza kutangaza kwamba wanasafiri hadi Tanzania kupitia Nairobi... Lakini reality itakua unaingia India Air ukifika Nairobi unageuziwa ndege na kuingizwa ndani ya KQ hadi huko Tz... Vile vile pia KQ itawea kusema inasafiri miji yote huko India lakini wakishafika Mumbai au Delhi unaingizwa kwa ndege ya India hadi huko uendako

National carrier Kenya Airways has received a big boost from the signing of an agreement that gives it the right to introduce seven more weekly flights to India.
A communiqué from India’s Ministry of Civil Aviation indicates that the two countries recently signed a memorandum of understanding (MoU) allowing carriers from both countries to get into more codeshare agreements.

----------------------------------------------

Mumbai
1563955625937.png

Delhi
1563955571968.png
 
Back
Top Bottom