India’s national airline set to start direct flights to Nairobi

India’s national airline set to start direct flights to Nairobi

Mitanzania hio pesa ya dreamliner afadhali mngenunua maembe nayo.
Tunanunua ndege sahv kila mwaka tunajenga stiglers gorge dam,tunajenga SGR, tunajenga barabara,hosp, tunaboresha kila idara na bado tumehama Dar. ..hivi vyote vinaenda kwa wakati mmoja no time to waste

Atcl imefukuka bro usiumie sana
 
Ile siku vile viji vyenu vitafikia level hii...nta log off jf
 
Na k
hahaha ss direct attack kwa ATCL ki vip mdugu yetu ili hali ATCL wana ruka direct from DSM to MUMBAI kwan hata rwandair si wana route ya mumbai vp KQ kwa hawana route ya mumbai ? kama KQ hawana iyo route bac mmepigwa jeki hapo au kama mnayo bac ni wazi wamepanga kuwasumbua maana nasikia KQ wanasifika kwa kupoteza mabegi ya wateja
Na kupoteza muda au kuahirisha safari kabisa
 
Not necessarily like that. Flight frequency and connectivity to other routes also matters usifikirie mtu atakaa JNIA anangoja sana sana sababu sio abiria wote wakifika Mumbai ati ndio mwisho.
Poor argument brother ! .. usafiri wa ndege sio kama wa boda boda bro au matatu !!
 
So do u mean that passengers flying to Mumbai from Dar will have to connect via JKIA ihali kuna direct flight?
Thats why kenyans are poor planners.

Aha haaa
Si unakumbuka ndiyo hawa wakawa wanasema watanzania siyo watu wa kusafiri kwa sababu hawakuwemo kwenye ile max ya Ethiopian airways iliyoanguka. Wakati kuna ndege ya moja kwa moja kwenda dar toka adis.
😀😀😀
 
Not necessarily like that. Flight frequency and connectivity to other routes also matters usifikirie mtu atakaa JNIA anangoja sana sana sababu sio abiria wote wakifika Mumbai ati ndio mwisho.

Anangoja sana nini? Kweni ile ni daladala kwamba hajui muda wa kufika na kuondoka ni saa ngapi?
Hata BRT ina ratiba kabisa.
 
Aha haaa
Si unakumbuka ndiyo hawa wakawa wanasema watanzania siyo watu wa kusafiri kwa sababu hawakuwemo kwenye ile max ya Ethiopian airways iliyoanguka. Wakati kuna ndege ya moja kwa moja kwenda dar toka adis.
😀😀😀
therefore they believe in order to reach DSM one must pass JKIA isn't ? hahahahaha haaha what a joking
 
Tuusan, KQ flies to Mumbai daily, you can check the flight schedules
 
The reason for air India to relaunch direct flights to Nairobi is clearly motivated by ATCL launch of Mumbai route.
And if the airline Air India is to start plying for Nairobi route then how is Air Tanzania involved? Wacheni upumbavu! The loss making Kenya airways is to be a first casualty! Nobody that flies to Dar from Mumbai is to connect at Nairobi while there's a direct flight costing less than $400!
 
hahaha ss direct attack kwa ATCL ki vip mdugu yetu ili hali ATCL wana ruka direct from DSM to MUMBAI kwan hata rwandair si wana route ya mumbai vp KQ kwa hawana route ya mumbai ? kama KQ hawana iyo route bac mmepigwa jeki hapo au kama mnayo bac ni wazi wamepanga kuwasumbua maana nasikia KQ wanasifika kwa kupoteza mabegi ya wateja
Hili tatizo la kupoteza mabegi au kuibiwa vitu vya thamani ndani ya begi ni kweli KQ wanazo sana.

Hii nimeona kwa watu wangu wawili wa karibu.
 
Hili tatizo la kupoteza mabegi au kuibiwa vitu vya thamani ndani ya begi ni kweli KQ wanazo sana.

Hii nimeona kwa watu wangu wawili wa karibu.
yaan ukipanda KQ ukiwa na vitu vyako vya thamani ndani ya begi ilo yaan probability ya ivyo vitu kupotea ni kubwaa kuliko kutopotea
 
Ile siku vile viji vyenu vitafikia level hii...nta log off jf

labda we unavyo fikiria na ss miji yetu mikuu ina hadhii gani.? embu tuelezee ktk kichwa chako unapicha gan kuhusu miji ya TZ ? naona iyo clip ya mji wa mombasa ndio umeona ni kalii sanaa ..bro the only thing that we don't have here is TRIBALISM the rest we have and we will
 
Anangoja sana nini? Kweni ile ni daladala kwamba hajui muda wa kufika na kuondoka ni saa ngapi?
Hata BRT ina ratiba kabisa.
Hahaha ,you're exposing your ignorance kabisa .Mwenye ujuzi wa usafiri wa ndege hawezi argue hivyo sababu anajua kuna layovers na flight schedules huwa haziambatani wakati wote ....sio kama daladala za Tz. And yes ,they do know muda wa kufika na kuondoka (this last issue tells me you know not what you're talkin about)
 
acha UJINGA ww KQ route ya US ndio route inayowapa hasara kuliko ...mbona hili tunalijua ...na amini usiamini atcl wakianza route ya china pia itawalipa kuna sababu nyingi ila moja ni biashara na uwepo wa wawekezaj toka china japo wana kera lkn ndio hivyo chinese wana fly kokpte kwenye interest zao tz tunazo interest za chinese ....mwaka huu ET walileta A350 ilikuwafull of tourist from china
Umeskia wapi Kq wakilalamika? Hasara ni nyinyi na hizo ndege zenu useless. Ndege ya Uganda inaanza kusafiri Nairobi Kwanza na nyinyi uwivu imewakimbiza Kampala [emoji23][emoji23][emoji23] Start with the main hub Nairobi ndio ndio mjulikane.
 
Back
Top Bottom