Individual performance in a single game

Dennis Bergkamp vs Everton
akiwa na miaka 36 ya kuzaliwa

Non flying dutchman, mzee wa vitu vitamu.’, slow but sure.

Aliwahi kupiga assist 4 ndani ya game moja

Mwaka 97 kama sikosei katika kinyanganyiro cha goli bora la mwezi, sikumbuki ulikuwa ni mwezi upi hasa.

Goli la 1,2 na la 3 yalikuwa ni ya kwake[emoji23][emoji23]
 
Ana sifa ,alikuwa na uwezo wa kumfunga kipa akiwa mbali bado akamfuata na kumpiga chenga

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧

Huyu mwamba alikuwa hatari mnoo...
 


Xavi na Man u 👍
Zizzou na Brazil 👍

Umewasahau Messi na Maradona ila ukawakumbuka wanafunzi wao...


Maradona na Germany
Maradona na Uingereza
Maradona na Napoli
Maradona n.k


Messi na timu yeyote aliyokutananayo...
 
Messi vs Arsenal; Messi Vs Real Madrid; Messi vs Bayern Munich; Messi vs Juvetus; Messi Vs Brazil...Messi Messi.....


Pulga na timu yoyote...bila kuwasahau Getafe, Ecuador, Man u, Arsenal, Man city, Spurs, Chelsea, Liverpool, Valencia, na Brazil, Atletico Madrid alivyowafanya kama watoto wake...
 
Thierry Henry vs Inter Milan

Hii game ilinipa mchuchu wa Diploma kipindi hicho.

Nakumbuka game 1 Arsenal alikuwa amekufa 3 kwa 0 kwenye makundi Highbury.

Sasa game ya pili inaanza, nikamwambia mdau mmoja kwamba hii game Inter atakufa, ukumbi mzima wakawa wananizomea kwa kuangalia game ya kwanza na hii Vieira hakuwepo, nilizomewa sana, sasa mimi nikawaambia tusubiri tuone.

Jamaa anayeonesha mpira tukakubaliana kwamba Arsenal akifungwa namlipa 20,000 na siangalii tena mpira kwenye ukumbi wake na akishinda nitaangalia mpira bure mpaka msimu uishe.

Sasa wa kumpa aishike hiyo 20,000 ndo nikamchagua dada mrembo tulikuwa tumekaa viti vinafatana.

Kikichotokea yule dada akawa ananionea huruma goli la kwanza liliporudi, Thierry akafanya maajabu yake, na ile twenty nikamwachia yule dada kwamba iwe kiingilio chake cha kuwa anakuja kumwangalia Thierry.

Ndo tukawa tumeanzia hapo.
 

Ile game ilikuwa ni [emoji91]

Kuna goli hilo, kuna goli like kawatungua tottenham kakimbia na mali toka golini kwao, kuna goli against madrid, kuna goli aliwafunga liver akamgaragaza jammie carragher.

Kwangu he is the best nyuma ya de lima.
 
Ile game ilikuwa ni [emoji91]

Kuna goli hilo, kuna goli like kawatungua tottenham kakimbia na mali toka golini kwao, kuna goli against madrid, kuna goli aliwafunga liver akamgaragaza jammie carragher.

Kwangu he is the best nyuma ya de lima.

Pamoja na kuwa sikuwa mshabiki wa Arsenal, chogo nilikuwa namwelewa sana.

Nilianza kumwona world cup anaingia kama sub anavaa 12 (France 98 WC), babu Wenger alivyomsajili nilifurahi sana, na nimeangalia games nyingi za Thierry.

Alikuwa ana style yake ya kuutuliza mpira, anapanda juu halafu anashuka nao. Na kuna ile ya kukimbia na mpira kwenye chaki akifika karibu na kibendera ndo anarudi ndani.
 

Lile jamaa lilikuwa linajua saana mpira, kama si yeye inawezekana nisingekuwa mshabiki wa arsenal leo hii ningekuwa aidha liverpool kwa sababu ya gerrard .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…