Indonesia: Samaki aliruka kutoka majini kumchoma kijana shingoni

Indonesia: Samaki aliruka kutoka majini kumchoma kijana shingoni

Indonesia, nchi yenye mikasa ya kila aina. Matetemeko,mafuriko,tsunami ndio usiseme.

Sijui walimkosea nn Mungu wao.


Unforgetable


Tanzania pia ina mikasa kila aina,,,albino kukatwa viungo na kuuawa kbs, vikongwe kuuawa,,wazazi hushirikiana kuwachizisha watoto wao kwa maagizo ya waganga kisa tu utajiri,,,


Pia usisahau Bukoba yaliotokea
 
Back
Top Bottom