Itakuwa aliruka kwa speed kali sana toka kwenye maji. Aisee ningekuwa mimi ningeomba Samaki aliyenidhuru achemshwe soup nzuri nimnywe na kumtafuna mpaka mifupa yake..
Tanzania pia ina mikasa kila aina,,,albino kukatwa viungo na kuuawa kbs, vikongwe kuuawa,,wazazi hushirikiana kuwachizisha watoto wao kwa maagizo ya waganga kisa tu utajiri,,,