Induction vs Gas: Okoa Pesa, Hesabu Hazidanganyi!

TATIZO KUU NI SERIKALI PUMBAVU YA CCM ...UMEME ULITAKIWA KUSHUSHWA BEI JAPO SH 1000 UPATE UNIT 4.6 HII NDIYO INGELETA TIJA SANA NA KUOKOA TAIFA KIUCHUMI NA KIMAZINGIRA ..TATIZO NI GENGE LA HUYU JAMBAZI ROSTAM AZIZI.
 
Inategemea unapika nini. Kuna vyakula vya kupikwa kwa dk 5, 10, 15 n.k, haviwezi kufanana matumizi ya nishati.
Just assume napika kwa mda wa nusu saa maanake kwa siku jiko niliwashe kwa mda wa saa moja itanigharimu unit ngap kwa siku
 
Asante kwa maarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…