GE2025 INEC mmeonyesha ulimwengu mlivo vilaza, hata kupika takwimu za kuiba kura mnashindwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Tulianza kuhoji uhalali wa idadi ya uandikishaji wapiga kura kuwa kwenye idadi ya Watanzania milion 60 huwezi kuandikisha wapiga kura milion 37+, kwenye takwimu za watu idadi ya watoto Huwa ni 45% - 50 % hawa hawapigi kura na Bado wafungwa na mahabusu ambao hawana sifa ya kupiga kura

Haya Sasa tuachane na hili

Kusema kuwa Kati ya watu milion 37, 655, 599 walioandikishwa watu 32,647,235 walipiga kura tarehe 29 oktoba ni uongo wa uzembe. Pia kusema ati Samia amepa kura milion 31.9 🤣 ni kichekesho
Kwamba Samia ameshinda Kwa asilimia 98%

Huu uchaguzi ulikuwa hauna hamasa

Kuna dharura za watu

Chama kikuu cha upinzani hakikushiriki uchaguzi

Maandamano na machafuko yalisababisha kura nyingi kuharibiwa Kwa kuchomwa moto

Kwa vyovyote vile hii turn out ni ya kupika haiwezekani kufika 87% ya mahudhurio
 
Tulianza kuhoji uhalali wa idadi ya uandikishaji wapiga kura kuwa kwenye idadi ya Watanzania milion 60 huwezi kuandikisha wapiga kura milion 37+, kwenye takwimu za watu idadi ya watoto Huwa ni 45% - 50 % hawa hawapigi kura na Bado wafungwa na mahabusu ambao hawana sifa ya kupiga kura

Haya Sasa tuachane na hili

Kusema kuwa Kati ya watu milion 37, 655, 599 walioandikishwa watu 32,647,235 walipiga kura tarehe 29 oktoba ni uongo wa uzembe. Pia kusema ati Samia amepa kura milion 31.9 🤣 ni kichekesho
Kwamba Samia ameshinda Kwa asilimia 98%

Huu uchaguzi ulikuwa haina hamasa

Kuna dharura za watu

Chama kikuu cha upinzani hakikushiriki uchaguzi

Maandamano na machafuko yalisababisha kura chache kuharibiwa Kwa kuchomwa moto

Kuna moja ya kituo hapa kigamboni, nimeshuhudia kwa macho yangu. Idadi ya watu ambao walioandikishwa kupiga kura ni 400. Lakini waliokuwa wamejitokwza kupiga kura ni 29 tu.

Chakushangaza, pembeni kulikuwa na daftari kutoka tume limejazwa matokeo kwa wapiga kura wa eneo la kigamboni. nitali- attach hapa ikienda sawa
 
Inasikitisha sana
 
Wangenipa niwapikie data nigempa Samia 60%, (halisi ni 15-20), wapinzani fake ningewapa 3 percent, 0.9 % zimeharbika, zilizobaki hawakujitokeza. Then ningeashauri waanze maridhiano kwa kuzingatia wasiojitokeza.
 
Tulianza kuhoji uhalali wa idadi ya uandikishaji wapiga kura kuwa kwenye idadi ya Watanzania milion 60 huwezi kuandikisha wapiga kura milion 37+, kwenye takwimu za watu idadi ya watoto Huwa ni 45% - 50 % hawa hawapigi kura na Bado wafungwa na mahabusu ambao hawana sifa ya kupiga kura

Haya Sasa tuachane na hili

Kusema kuwa Kati ya watu milion 37, 655, 599 walioandikishwa watu 32,647,235 walipiga kura tarehe 29 oktoba ni uongo wa uzembe. Pia kusema ati Samia amepa kura milion 31.9 🤣 ni kichekesho
Kwamba Samia ameshinda Kwa asilimia 98%

Huu uchaguzi ulikuwa haina hamasa

Kuna dharura za watu

Chama kikuu cha upinzani hakikushiriki uchaguzi

Maandamano na machafuko yalisababisha kura chache kuharibiwa Kwa kuchomwa moto

Kwa vyovyote vile hii turn out ni ya kupika haiwezekani kufika 87% ya mahudhurio
Wanaohatarisha amani katika nchi hi ni tume ya uchaguzi. Hawa akina Kairima ndo wanaosababisha hata uchaguzi usiwe na thamani nchi hii. Watu wanamlaumu bure Samia, inawezeka hata hajawatuma wamjazie hizo kura. Wanajipendekeza mpaka wanavuka mipaka. Wao wanadhani kusimamia uchaguzi ni kuwa saidia ccm. Sheria zetu zinataka mshindi awazidi wenzake kwa kura. Hata akiwazidi kwa kura moja anakuwa ameshinda. Sasa Kuna haja gani ya kujaza kura za kufoji kwa Samia ambaye hana mpinzani! Akina Kairima wanaharibu hata taswira ya anaye wateua kwa kujipendekeza kusikokuwa na maana yoyote. Unakuta hata huyo Samia hajawapa maagizo ya kumwongezea kura. Sasa hivi tunashudia mauji ya vijana walioandamana kutokana na tume kuharibu kila uchaguzi unaofanyika hapa nchini kwa maslahi yao tu. Uchaguzi ukiwa na thamani hakuna atakaye waza kuupuza au kuandamana. Mbona huko Zambia au Kenya au Malawi pamoja na kuwa pia wanateuliwa na Rais lakini wanasimamia uchaguzi bila kuwa na fukuto moyoni la kumsaidia aliye wateua kwa kuiba kura!?
 
Una hoja nzuri mno
 
Back
Top Bottom