GE2025 INEC mmepuyanga kwenye kesi ya Mpina na sasa hamna uhalali wowote kuendelea na zoezi lenu la uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

S.M.P2503

Platinum Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
3,689
Reaction score
7,145
Kwa maneno ya Jaji aliyesikiliza shauri hili mjini Dodoma leo, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ilimnyima haki ya msingi ya kusikilizwa Mheshimiwa Luhaga Mpina, jambo ambalo ni kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 13(6)(a), inayotamka wazi kuwa “Wakati haki ya mtu yeyote inaposikilizwa, mtu huyo atapewa nafasi ya kusikilizwa.”

Kitendo cha kumzuia mgombea huyu kuwasilisha nyaraka zake za uteuzi bila kumpa haki ya kusikilizwa ni ukiukwaji wa misingi ya haki za kikatiba, misingi ya utawala wa sheria, na wajibu wa tume kufuata taratibu halali.

Yeyote aliyehusika kutoa maagizo ya kutopokea nyaraka hizo, anapaswa sasa kujipima, kujitafakari na kuachia ngazi mara moja.

Uamuzi huu wa leo umeweka wazi kuwa INEC imevuliwa nguo mbele ya umma, immekuwa dhaifu, mmepoteza uhalali wa kisheria na wa kikatiba kusimamia mchakato huu wa uchaguzi.

Kwa mantiki hiyo, hatua sahihi na ya lazima ni kujiuzulu kwa viongozi wa Tume na kuruhusu mchakato mpya, safi na wa kisheria kuanza upya.

Jaji amewaambia bayana: hamkufuata sheria. Sasa, uhuru wa kuvunja Katiba na Sheria za Uchaguzi mnautoa wapi? Hakuna chombo chochote kilicho juu ya Katiba.

Ni wakati wa kujipima, kutubu kisiasa na kikatiba, na kufanya jambo sahihi mbele ya Watanzania na mbele ya Katiba yao.

Jipimeni na fanyeni yaliyo sahihi.
 
Kasome hapa!! Tulishayasema zamanii
 
ACT =CCM B.Ni project ya ccm na inec KUTAKATISHA UCHAFUZI
 
Kuna lile li Mkurugenzi la Tume li Kapilima Omary ni dude shenzi sana na lenye mlengo fulani wa upendelevu. Ipo siku yake tu. Na tunajua mienendo yake pale Morogoro atashughulikiwa.
 
Kwa maneno ya Jaji aliyesikiliza shauri hili mjini Dodoma leo, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ilimnyima haki ya msingi ya kusikilizwa Mheshimiwa Luhaga Mpina, jambo ambalo ni kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 13(6)(a), inayotamka wazi kuwa “Wakati haki ya mtu yeyote inaposikilizwa, mtu huyo atapewa nafasi ya kusikilizwa.”

Kitendo cha kumzuia mgombea huyu kuwasilisha nyaraka zake za uteuzi bila kumpa haki ya kusikilizwa ni ukiukwaji wa misingi ya haki za kikatiba, misingi ya utawala wa sheria, na wajibu wa tume kufuata taratibu halali.

Yeyote aliyehusika kutoa maagizo ya kutopokea nyaraka hizo, anapaswa sasa kujipima, kujitafakari na kuachia ngazi mara moja.

Uamuzi huu wa leo umeweka wazi kuwa INEC imevuliwa nguo mbele ya umma, immekuwa dhaifu, mmepoteza uhalali wa kisheria na wa kikatiba kusimamia mchakato huu wa uchaguzi.

Kwa mantiki hiyo, hatua sahihi na ya lazima ni kujiuzulu kwa viongozi wa Tume na kuruhusu mchakato mpya, safi na wa kisheria kuanza upya.

Jaji amewaambia bayana: hamkufuata sheria. Sasa, uhuru wa kuvunja Katiba na Sheria za Uchaguzi mnautoa wapi? Hakuna chombo chochote kilicho juu ya Katiba.

Ni wakati wa kujipima, kutubu kisiasa na kikatiba, na kufanya jambo sahihi mbele ya Watanzania na mbele ya Katiba yao.

Jipimeni na fanyeni yaliyo sahihi.

Utasubiri sana hao mbuzi kujiuzulu.
Shida kubwa ipo zaidi kwetu sisi Watanganyika!
 
Mleta mada, sidhani kama wanaotakiwa kujipima ''kujiuzulu'' ni INEC! wao wapo kazini kwa mujibu wa script.
Wanaotakiwa kujiuliza ni ACT Wazalendo, kwamba, hii ni 'prelude' mziki wenye upoje! kwanini wasijiuzulu wao

JokaKuu Kalamu
 
Hao ACT wajiuzulu ili iweje kwa mfano ?
 
Back
Top Bottom