Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Utitiri wa vyama lakini wajinga watupu na matapeli. Hawana hata huruma na Rasilimali za nchiUrejeshaji fomu za kugombea urais umekamilika leo katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), ambapo mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, alizuiwa kuingia kutokana na kukosa vigezo.
Kwa mujibu wa kanuni za chama hicho, mgombea wa nafasi ya urais anatakiwa awe mwanachama aliyehudumu ndani ya chama kwa angalau siku 30 kabla ya uteuzi, jambo ambalo Mpina alishindwa kutimiza.
Mpina, ambaye aliwasili saa 6:40 mchana akiwa na mgombea mwenza wake, alizuiwa getini na maafisa wa Tume na kuambiwa wasubiri nje. Hata hivyo, hadi mwisho wa siku, yeye pamoja na wafuasi wake hawakuruhusiwa kuingia ndani kurejesha fomu hizo.
Awali, ACT-Wazalendo walieleza matumaini ya kurejesha fomu hizo ili kujiandaa kuanza kampeni rasmi katika maeneo mbalimbali nchini, lakini walikumbana na kikwazo hicho.
Wagombea wa Vyama VingineMgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, akiwa na mgombea mwenza wake Dk. Emmanuel Nchimbi, walifanikiwa kurejesha fomu zao kwa mujibu wa ratiba ya Tume.
Mbali na CCM, vyama vingine vilivyorejesha fomu ni: NRA, AAFP, Chama Makini, NLD, UPDP, ADA, TADEA, UMD, TLP, CCK, CHAUMMA, DP, SAU, CUF, ADC, UDP, NCCR-Mageuzi na UMD.
Sisi kama taifa hatuko serious. Nini hiki sasa? Kuna haja ya uchaguzi hapa? Ni ujinga uliopitilizaUrejeshaji fomu za kugombea urais umekamilika leo katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), ambapo mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, alizuiwa kuingia kutokana na kukosa vigezo.
Kwa mujibu wa kanuni za chama hicho, mgombea wa nafasi ya urais anatakiwa awe mwanachama aliyehudumu ndani ya chama kwa angalau siku 30 kabla ya uteuzi, jambo ambalo Mpina alishindwa kutimiza.
Mpina, ambaye aliwasili saa 6:40 mchana akiwa na mgombea mwenza wake, alizuiwa getini na maafisa wa Tume na kuambiwa wasubiri nje. Hata hivyo, hadi mwisho wa siku, yeye pamoja na wafuasi wake hawakuruhusiwa kuingia ndani kurejesha fomu hizo.
Awali, ACT-Wazalendo walieleza matumaini ya kurejesha fomu hizo ili kujiandaa kuanza kampeni rasmi katika maeneo mbalimbali nchini, lakini walikumbana na kikwazo hicho.
Wagombea wa Vyama VingineMgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, akiwa na mgombea mwenza wake Dk. Emmanuel Nchimbi, walifanikiwa kurejesha fomu zao kwa mujibu wa ratiba ya Tume.
Mbali na CCM, vyama vingine vilivyorejesha fomu ni: NRA, AAFP, Chama Makini, NLD, UPDP, ADA TADEA, UMD, TLP, CCK, CHAUMMA, DP, SAU, CUF, ADC, UDP, NCCR-Mageuzi na UMD.
Wagombea wa Urais Tanzania 2025
1. Chama Cha Mapinduzi (CCM)
2. National Reconstruction Alliance (NRA)
- Samia Suluhu Hassan - Mgombea Urais
- Emmanuel Nchimbi – Mgombea mwenza
3. Alliance for African Farmers Party (AAFP)
- Hassan Kisabya Almas - Mgombea Urais
- Hamis Hassan - Mgombea mwenza
4. Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (MAKINI)
- Kunje Ngombare Mwiru – Mgombea Urais
- Chumu Abdallah Juma – Mgombea mwenza
5. National League for Democracy (NLD)
- Coaster Kibonde – Mgombea urais
- Aziza Haji Suleiman – Mgombea mwenza
6. United People’s Democratic Party (UPDP)
- Doyo Hassan Doyo – Mgombea urais
- Chausiku Khatibu Mohamed – Mgombea mwenza
7. Chama Cha African Democratic Alliance Party (ADA TADEA)
- Twalib Ibrahim Kadege – Mgombea Urais
- Abdalla Mohamed Khamis – Mgombea mwenza
8. Chama Cha Union for Multiparty Democracy (UMD)
- George Bussungu – Mgombea Urais
- Ali Issa Makame - Mgombea mwenza
9. Chama cha Tanzania Labour Party (TLP)
- Mwajuma Noty Mirambo – Mgombea Urais
- Mashavu Alawi - Mgombea mwenza
10. Chama cha Kijamii cha (CCK)
- Yustas Rwamugira – Mgombea Urais
- Aman Seleman Mzee - Mgombea mwenza
11. Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)
- David Daud Mwaijele – Mgombea Urais
- Masoud Ali Abdalla - Mgombea mwenza
12. Chama cha Democratic Party (DP)
- Salum Mwalimu – Mgombea Urais
- Devotha Minja - Mgombea mwenza
13. Chama cha Sauti ya Umma (SAU)
- Abdul Mluya – Mgombea Urais
- Abrahman Khatib - Mgombea mwenza
14. Chama cha Wananchi (CUF)
- Majalio Paul Kyara – Mgombea Urais
- Satia Mussa Bebwa - Mgombea mwenza
15. Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC)
- Gombo Gombo – Mgombea Urais
- Husna Mohamed Abdalla - Mgombea mwenza
16. Chama cha United Democratic Party (UDP)
- Wilson Elias Mulumbe – Mgombea Urais
- Shoka Khamis Juma - Mgombea mwenza
17. Chama cha National Convention for Construction and Reform – Mageuzi (NCCR-MAGEUZI)
- Saum Rashid – Mgombea Urais
- Juma Hamis - Mgombea mwenza
- Haji Ambar Khamis – Mgombea Urais
- Dkt. Eveline Wilbard Munisi - Mgombea mwenza
Hivi vyama vipo Tanzania? Hii ni project ya CCM, hakuna lingine, chama cha siasa ni kimoja tu na ndicho chenye kiongozi aliye jela. Miaka 30 vimegombea na havikupata mbunge hata mmoja,leo mnasema ni vyama hivi? Acheni kudanganya watanzania.Urejeshaji fomu za kugombea urais umekamilika leo katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), ambapo mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, alizuiwa kuingia kutokana na kukosa vigezo.
Kwa mujibu wa kanuni za chama hicho, mgombea wa nafasi ya urais anatakiwa awe mwanachama aliyehudumu ndani ya chama kwa angalau siku 30 kabla ya uteuzi, jambo ambalo Mpina alishindwa kutimiza.
Mpina, ambaye aliwasili saa 6:40 mchana akiwa na mgombea mwenza wake, alizuiwa getini na maafisa wa Tume na kuambiwa wasubiri nje. Hata hivyo, hadi mwisho wa siku, yeye pamoja na wafuasi wake hawakuruhusiwa kuingia ndani kurejesha fomu hizo.
Awali, ACT-Wazalendo walieleza matumaini ya kurejesha fomu hizo ili kujiandaa kuanza kampeni rasmi katika maeneo mbalimbali nchini, lakini walikumbana na kikwazo hicho.
Wagombea wa Vyama VingineMgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, akiwa na mgombea mwenza wake Dk. Emmanuel Nchimbi, walifanikiwa kurejesha fomu zao kwa mujibu wa ratiba ya Tume.
Mbali na CCM, vyama vingine vilivyorejesha fomu ni: NRA, AAFP, Chama Makini, NLD, UPDP, ADA TADEA, UMD, TLP, CCK, CHAUMMA, DP, SAU, CUF, ADC, UDP, NCCR-Mageuzi na UMD.
Wagombea wa Urais Tanzania 2025
1. Chama Cha Mapinduzi (CCM)
2. National Reconstruction Alliance (NRA)
- Samia Suluhu Hassan - Mgombea Urais
- Emmanuel Nchimbi – Mgombea mwenza
3. Alliance for African Farmers Party (AAFP)
- Hassan Kisabya Almas - Mgombea Urais
- Hamis Hassan - Mgombea mwenza
4. Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (MAKINI)
- Kunje Ngombare Mwiru – Mgombea Urais
- Chumu Abdallah Juma – Mgombea mwenza
5. National League for Democracy (NLD)
- Coaster Kibonde – Mgombea urais
- Aziza Haji Suleiman – Mgombea mwenza
6. United People’s Democratic Party (UPDP)
- Doyo Hassan Doyo – Mgombea urais
- Chausiku Khatibu Mohamed – Mgombea mwenza
7. Chama Cha African Democratic Alliance Party (ADA TADEA)
- Twalib Ibrahim Kadege – Mgombea Urais
- Abdalla Mohamed Khamis – Mgombea mwenza
8. Chama Cha Union for Multiparty Democracy (UMD)
- George Bussungu – Mgombea Urais
- Ali Issa Makame - Mgombea mwenza
9. Chama cha Tanzania Labour Party (TLP)
- Mwajuma Noty Mirambo – Mgombea Urais
- Mashavu Alawi - Mgombea mwenza
10. Chama cha Kijamii cha (CCK)
- Yustas Rwamugira – Mgombea Urais
- Aman Seleman Mzee - Mgombea mwenza
11. Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)
- David Daud Mwaijele – Mgombea Urais
- Masoud Ali Abdalla - Mgombea mwenza
12. Chama cha Democratic Party (DP)
- Salum Mwalimu – Mgombea Urais
- Devotha Minja - Mgombea mwenza
13. Chama cha Sauti ya Umma (SAU)
- Abdul Mluya – Mgombea Urais
- Abrahman Khatib - Mgombea mwenza
14. Chama cha Wananchi (CUF)
- Majalio Paul Kyara – Mgombea Urais
- Satia Mussa Bebwa - Mgombea mwenza
15. Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC)
- Gombo Gombo – Mgombea Urais
- Husna Mohamed Abdalla - Mgombea mwenza
16. Chama cha United Democratic Party (UDP)
- Wilson Elias Mulumbe – Mgombea Urais
- Shoka Khamis Juma - Mgombea mwenza
17. Chama cha National Convention for Construction and Reform – Mageuzi (NCCR-MAGEUZI)
- Saum Rashid – Mgombea Urais
- Juma Hamis - Mgombea mwenza
- Haji Ambar Khamis – Mgombea Urais
- Dkt. Eveline Wilbard Munisi - Mgombea mwenza
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Urejeshaji fomu za kugombea urais umekamilika leo katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), ambapo mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, alizuiwa kuingia kutokana na kukosa vigezo.

CAG akiingia kwenye ukaguzi hivyo vyama hewa vina mahesabu!!Wastage of Tanganyika's funds