[emoji4][emoji4]Sawa shem duuuh
Mbona mimi nina BMW halafu muaminifu?Ladies nawashauri chagueni wanaume wenye hela, [HASHTAG]#Infact[/HASHTAG] hakuna mwanaume MWAMINIFU
My dear ni afadhali kutoa machozi ndani ya BMW kuliko juu ya baiskeli
.....[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
Hata mimi ni kama wewe ila nina bahati ya kupata waaminifu,huyu atakuwa na matatizo yake anataka kudanganya wenzake...Acha uuuwongooo mbona mimi ni mwaminifu.
Sema ndo sipati mwanamke mwaminifu.
Kwa mitazamo kama hii mtapigika sana, mkija shtuka arobaini is around the corner!
Wakati wenzako wanatafuta na kupata penzi la kweli wewe endelea kutumika kama kipoozeo kwa sababu ya mtazamo wako!!
Mkuu inaonyesha katika mahusiano au mapenzi bado ni mchanga.Ladies nawashauri chagueni wanaume wenye hela, [HASHTAG]#Infact[/HASHTAG] hakuna mwanaume MWAMINIFU
My dear ni afadhali kutoa machozi ndani ya BMW kuliko juu ya baiskeli
.....[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
Unatuharibia tusio na BMWLadies nawashauri chagueni wanaume wenye hela, [HASHTAG]#Infact[/HASHTAG] hakuna mwanaume MWAMINIFU
My dear ni afadhali kutoa machozi ndani ya BMW kuliko juu ya baiskeli
.....[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
Uaminifu ni niniHujui tofauti ya uaminifu na uongo. Wanaume ni waaminifu sana
hapana kwa hoja hii umekosea sana tena kosa kubwa ni kujaribu kuwaaminisha wenzako hoja ya uongo labda ungesema kuwa wanaume waaminifu ni wachache sana maisha ya sasaLadies nawashauri chagueni wanaume wenye hela, [HASHTAG]#Infact[/HASHTAG] hakuna mwanaume MWAMINIFU
My dear ni afadhali kutoa machozi ndani ya BMW kuliko juu ya baiskeli
.....[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
Bi zahra anakutosha eeMbona mimi nina BMW halafu muaminifu?
Hahaha, ananiosha ananitosha, mwingine atanichosha.Bi zahra anakutosha ee
Haya bana wengine tulie tu,tushawahiwaHahaha, ananiosha ananitosha, mwingine atanichosha.
umeona eeeenheeeAcha uuuwongooo mbona mimi ni mwaminifu.
Sema ndo sipati mwanamke mwaminifu.
naunga mkono hoja yakohapana kwa hoja hii umekosea sana tena kosa kubwa ni kujaribu kuwaaminisha wenzako hoja ya uongo labda ungesema kuwa wanaume waaminifu ni wachache sana maisha ya sasa
. Hata mimi mwaminifu ndo maana napinga vikali sana kauli yako na mpaka sasa sijapata mwanamke wa kuishi nae kama mke