Infact hakuna mwanaume mwaminifu

Infact hakuna mwanaume mwaminifu

Ladies nawashauri chagueni wanaume wenye hela, [HASHTAG]#Infact[/HASHTAG] hakuna mwanaume MWAMINIFU

My dear ni afadhali kutoa machozi ndani ya BMW kuliko juu ya baiskeli
.....[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
Mbona mimi nina BMW halafu muaminifu?
 
Dhana potofu ya kuwavunja moyo wenzako.
WAAMINIFU WAPO ila wewe huna bahati ya kukutana nao.
Nenda polepole.
 
Acha uuuwongooo mbona mimi ni mwaminifu.
Sema ndo sipati mwanamke mwaminifu.
Hata mimi ni kama wewe ila nina bahati ya kupata waaminifu,huyu atakuwa na matatizo yake anataka kudanganya wenzake...
Kwa mitazamo kama hii mtapigika sana, mkija shtuka arobaini is around the corner!
Wakati wenzako wanatafuta na kupata penzi la kweli wewe endelea kutumika kama kipoozeo kwa sababu ya mtazamo wako!!
 
Ladies nawashauri chagueni wanaume wenye hela, [HASHTAG]#Infact[/HASHTAG] hakuna mwanaume MWAMINIFU

My dear ni afadhali kutoa machozi ndani ya BMW kuliko juu ya baiskeli
.....[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
Mkuu inaonyesha katika mahusiano au mapenzi bado ni mchanga.
Huwezi kusema kwa ujumla kuwa siyo waminifu kwa kutumia weakness zako kumbuka
Siku zote Pesa inatafutwa ila uaminifu Mtu anazaliwa nao
 
Ladies nawashauri chagueni wanaume wenye hela, [HASHTAG]#Infact[/HASHTAG] hakuna mwanaume MWAMINIFU

My dear ni afadhali kutoa machozi ndani ya BMW kuliko juu ya baiskeli
.....[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
Unatuharibia tusio na BMW
 
Ladies nawashauri chagueni wanaume wenye hela, [HASHTAG]#Infact[/HASHTAG] hakuna mwanaume MWAMINIFU

My dear ni afadhali kutoa machozi ndani ya BMW kuliko juu ya baiskeli
.....[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
hapana kwa hoja hii umekosea sana tena kosa kubwa ni kujaribu kuwaaminisha wenzako hoja ya uongo labda ungesema kuwa wanaume waaminifu ni wachache sana maisha ya sasa
. Hata mimi mwaminifu ndo maana napinga vikali sana kauli yako na mpaka sasa sijapata mwanamke wa kuishi nae kama mke
 
Mkuu nakuunga mkono 100%. Nami nilitaka kuleta uzi kama huu. Mwanaume mwenye afya yake nzuri hana tatizo lolote hawezi kutosheka na mwanamke mmoja. Hao wanaume wanaoitwa waaminifu wana matatizo ktk miili yao. Wanene sana, wana kisukari, wana kibamia, hawajatahiriwa, wananuka midomo n.k

Wewe unayemsifia bwana wako kuwa mwaminifu mchunguze vizuri
 
Wapo waaminifu utafikiria wamelogwa. ....ukipenda ukapendeka. ...huoni mwingine.
Sema wengi wao wanaiga, wakifikiria ndio kwenda na wakati....
 
hapana kwa hoja hii umekosea sana tena kosa kubwa ni kujaribu kuwaaminisha wenzako hoja ya uongo labda ungesema kuwa wanaume waaminifu ni wachache sana maisha ya sasa
. Hata mimi mwaminifu ndo maana napinga vikali sana kauli yako na mpaka sasa sijapata mwanamke wa kuishi nae kama mke
naunga mkono hoja yako
 
Back
Top Bottom