Kusoma huwezi, hata picha nayo yakushinda? Ukisoma hiyo red bold bado hujaelewa? Siku nyingine ntakutia bakora!
Au bado hujaelewa? FYI vidume vingekuwa rahisi kukamatika, asilimia 85 ya ndoa zingekuwa zimeshavunjika! Kwa sababu gani? Simple asilimia 99 ya wanaume wanacheat. Umeridhika?
Sipingi mzee mwenzangu, wako wanawake wanaocheat tena ile mbaya na hawafahamiki. Na kwa jinsi sweetlady anavyonikomalia hapa chini yawezekana ana kauzoefu flani anakokajua. Hoja yangu ni wingi wa wanaocheat. Amin amin nakuambia wanawake wangekuwa wanacheat kwa wingi kama wanaume hali ingekuwa mbaya zaidi........ tungekuwa tunafurumushana huko magesti hausi kama vichaa.Kwa upande wako uko sahihi na sina data zozote za kunishawishi nikubishie....!!
Ila kama unamini kuwa, "action and reaction are equal but only from the opposite angle", basi utaweza kugundua kuwa inawezekana wewe ni beneficiary tu wa ujanja wa mtu mwingine, i.e...una hakika gani kuwa siyo ujanja wa Mama Matesha ambao umewapa nafasi ya kuvuta vuta time hadi sasa??
Bado naamini kuwa wapo wanawake wanjanja sana ambao, they can cheat and still do away with it...hadi mwisho wa ndoa zao!!!
Nimeshamsoma na kina Pearl nimewasoma pia. Umefurahi?Asprini aka babu mwenzio akimaliza kusoma hii useful quote yako, aende akamsome The Finest na mwisho kabisa amsome na Dena Amsi.
Sipingi mzee mwenzangu, wako wanawake wanaocheat tena ile mbaya na hawafahamiki. Na kwa jinsi sweetlady anavyonikomalia hapa chini yawezekana ana kauzoefu flani anakokajua. Hoja yangu ni wingi wa wanaocheat. Amin amin nakuambia wanawake wangekuwa wanacheat kwa wingi kama wanaume hali ingekuwa mbaya zaidi........ tungekuwa tunafurumushana huko magesti hausi kama vichaa.
Mantiki yangu ni kuwa, kwa kuwa wanaume zaidi ya 97% (hili huwa naliamini kivyangu) huwa wanacheat na wanaokamatwa hawafiki 20% then hii midume iko smart kwa maana ya wingi wao na kutokamatwa kwao. Naamini kama 97% ya wanawake wangekuwa wanacheat zaidi ya 50% wangekuwa wanakamatwa........ Imagine hata hao wachache wanaocheat bado wanakamatwa sana tu. Labda tuondoe hao wachache ambao wamebobea.
Nimeshamsoma na kina Pearl nimewasoma pia. Umefurahi?
Kila mmoja anaweza kukamatika, hakuna aliye untouchable. Mwanamke sio rahisi kukamatwa:
1 wanawake ar good at multitasking na hawasahau haraka wala kujisahau (tuite u-Dellilah). Groomed to be smart, nafikiria in terms of covering tracks
2 wanawake hawategemewi ku-express feelings waziwazi. Mfano sex inawezafanyika kama wajibu and they can fake na isigundulike. Na kuna cycle na mood za kujitetea (maybe it is something to do with my hormones blah blah)
3 aren't women good actors? Kama mume anakupiga mangumi na unaweza kutabasamu mbele yake na mbele ya dunia nzima...na yeye bado akajiskia kuwa mume? Basi nadhani huwezi kustukiwa unless hajali tena
4 secret keepers. Kwanza wanawake hatuaminiani. Unajua siku mkitofautiana shosti atamwaga maharage.At most wanawake wana siri zao wasizoshare na mtu. Atakua na affair, mashosti wanaweza jua bt they will never have details. Wanaume hadi kaka zake wata-meet small house. Katika harakati za kujinadi for any benefit, mwanaume atatumia umbea kusema popote hadi habari zitafika
Eh,ngoja niishie hapa.
Lakini sasa kwanini wanaume huwa wanashtuka sana wakigundua mke au mpenzi wake anacheat?
Lol, hapa yaliwahi kunikuta asee, tena niliambiwa nna laana, sina adabu na nisirudie tena kumwambia mwanaume hayo maneno, nliambiwa wanaume hawaambiwi hivyo hata siku moja,lol. Nikalazimishwa kuomba msamaha..
Aisee! Hata wewe???? Siamini walah tena.Sipingi mzee mwenzangu, wako wanawake wanaocheat tena ile mbaya na hawafahamiki. Na kwa jinsi sweetlady anavyonikomalia hapa chini yawezekana ana kauzoefu flani anakokajua. Hoja yangu ni wingi wa wanaocheat. Amin amin nakuambia wanawake wangekuwa wanacheat kwa wingi kama wanaume hali ingekuwa mbaya zaidi........ tungekuwa tunafurumushana huko magesti hausi kama vichaa.
Mantiki yangu ni kuwa, kwa kuwa wanaume zaidi ya 97% (hili huwa naliamini kivyangu) huwa wanacheat na wanaokamatwa hawafiki 20% then hii midume iko smart kwa maana ya wingi wao na kutokamatwa kwao. Naamini kama 97% ya wanawake wangekuwa wanacheat zaidi ya 50% wangekuwa wanakamatwa........ Imagine hata hao wachache wanaocheat bado wanakamatwa sana tu. Labda tuondoe hao wachache ambao wamebobea.
Nimeshamsoma na kina Pearl nimewasoma pia. Umefurahi?
Hahaha! Nilisema Ok yaishe na nafuta kauli yangu...lol, ningekataa ndio ingeonekana laana imeanza kufanya kazi.Na ukaomba msamaha?
Ningepandisha mori mara moja
nope infidelism...!