Saa kumi na moja
Member
- Nov 8, 2017
- 59
- 63
Angalia comparison hapo kati ya Google pixel 6 vs Infinix Zero X Pro
Google pixel 6 vs Infinix Zero X Pro
Google pixel 6 vs Infinix Zero X Pro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilivyo ona huyo infinix ana chipset ya mediatek (12nm) na pixel ana Google tensor (5nm) nikaishia apo apo kusoma..
Ww jamaa . Mm nikaishiwa nguvu kabisa ya kuendeleaNilivyo ona huyo infinix ana chipset ya mediatek (12nm) na pixel ana Google tensor (5nm) nikaishia apo apo kusoma..
Shabiki wa Simba akishavurugwa [emoji1][emoji1]Jamaa,umewaza nini? [emoji23]
Siyo yeye , sema hana uelewa na anachokizungumza , hizi chipset ya mtk nayo ni simu kweli ? Miezi sita inaanza kukupa mateso.Ila we jamaa umeamua kuitukana Google pixel 6, iombe radhi tafadhali.
Ila wewe huwezi kuunda ya kwako unajua kukosoa tuNilivyo ona huyo infinix ana chipset ya mediatek (12nm) na pixel ana Google tensor (5nm) nikaishia apo apo kusoma..
Mzee.. Mi mwenyewe natumia infinix, ila siwezi compare infinix na Google pixel flagship zenye specs izo.. Ukweli utabaki kua ukweliIla wewe huwezi kuunda ya kwako unajua kukosoa tu
Watu wa nanjilinji banaSiyo yeye , sema hana uelewa na anachokizungumza , hizi chipset ya mtk nayo ni simu kweli ? Miezi sita inaanza kukupa mateso.
Mkuu shida sio jina,,,shida hizo simu hazifananishikiHapo kwanza kutokana na Bias ya watu dhidi ya jina la INFINIX, hakuna aliyeweza kuona hata sifa moja ya infinix dhidi ya pixel , hata kuona mlingano wa simu hizi. Ushindani upo pale pale hata kama hii ingekuwa tecno vs iPhone. Mimi naona kwanza tatizo hapo ni jina la INFINIX na wala sio sifa kubwa za pixel.
Kama angeweka XIAOMI vs Pixel , basi xiaomi ingepata shavu sana, au ingekuwa Brand kama OPPO basi ingeonekana ni ushindani halisi.
Mkuu shida sio jina,,,shida hizo simu hazifananishiki
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Hio refresh rate nimeiona nI question mark inayosubiria reviews. Display ya pixel ni VRR ina variable refresh rate inaweza gota kwenye refresh rate yoyote iwe 60hz 70hz 12hz etc. Wakati infinix sijui ni tech gani ila kwa ninavyofahamu hii kampuni pengine ina switch baina ya 60 hz na 120hz tu kama Midrange nyengine. Review zinahitajika zaidi.Bado tuu. Hata kama infinix ni very low end. Lakini hakuna specifications hata moja hapo ambayo inaweza kulinganishwa na pixel. Ina maana comparison ya infinix vs pixel hapo tukioanisha pixel itakuwa 100% better than infinix in all ways? Hebu niambie hata refresh rate hazilingani kabisa hii ni sawa?
Overall haiwezi,,kwasababu maeneo yote ya msingi hyo pixel ni zaidi,,,120hz haitosh kusema zinafananishika hizi simu,,tumeangalia overall specs Tena key specs...kuna simu hapo kati zina 120hz ndio zinaweza fananishika na hyo infinix...hatuidiss infinix ila mtoa mada ameangalia juu juu akaja kutoa uzi...Bado tuu. Hata kama infinix ni very low end. Lakini hakuna specifications hata moja hapo ambayo inaweza kulinganishwa na pixel. Ina maana comparison ya infinix vs pixel hapo tukioanisha pixel itakuwa 100% better than infinix in all ways? Hebu niambie hata refresh rate hazilingani kabisa hii ni sawa?