Phone4Sale Infinix S5 Pro inauzwa

Phone4Sale Infinix S5 Pro inauzwa

Jazajuan

Senior Member
Joined
Dec 9, 2017
Posts
182
Reaction score
312
Internal memory =64gb.
Ram=4gb.
Location ni Kinondoni studio.
Contact ni 0683352362...
Bei ni 260,000/=

images.jpg
 
Simu za kununua mkononi zina kazi. Halafu 260k si unapata kitu kipya na chenji inarudi? Kula 100k braza
 
Simu za kununua mkononi siku hizi ni kesi juu ya kesi, at least labda ununue kwa mwanao unaemfaham kabisa au ndugu, otherwise unaweza ukajikuta unauziwa kesi ya mauaji.
 
Unapotaka kununua simu ya mtu mkononi, ambayo haina risiti wala box

Fanya hivi;

1: Hakikisha ina call log za mwezi mmoja nyuma (awe hajafuta simu zilizopigwa angalau mwezi mzima nyuma)

2. Hakikisha unafanya mauziano mbele ya serikali ya mtaa na muandikishane
 
Simu za kununua mkononi siku hizi ni kesi juu ya kesi, at least labda ununue kwa mwanao unaemfaham kabisa au ndugu, otherwise unaweza ukajikuta unauziwa kesi ya mauaji.
Hakikisha ukinunua simu unapewa na original box lenye imei namba za simu husika.

Bila hivyo utauziwa simu hata na mwana unaemfahamu lakini akakuliza pia
 
Doo sure mkuu, zama zimebadilika sana, dk 0 tu unajikuta maisha yanahamia nyuma ya nondo za magereza.
 
Back
Top Bottom