BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Nina experience ya muda mrefu wa kutumia Infinix, Tecno na Itel Kuna kitu nimenotice baada ya kuachana na matumizi ya simu hizo kimsingi ukweli usemwe hizo simu ziletengenezwa kuminimize cost kuanzia price ya kununulia mpaka maintenance.
Wakati natumia Infinix wiki kadhaa nyumba bundle la jero ambalo Vodacom Wana offer mb246 nilikuwa naweza kuangaika nalo kwa masaa zaidi ya kumi na mbili hapo ni mwendo wa Facebook, Jamiiforum na Whatsapp.
Sasa wahuni walipita na Infinix yangu nikaamua kuchange brand kuja kwenye Pixel aisee Mb zangu zinalika mb246 zinatumika chini ya lisaa limoja matumizi ni yaleyale Facebook, Jamiiforum na Whatsapp ilibidi niwapigie Vodacom kuwauliza kulikoni wakaniambia niangalie setting zangu uenda kuna apps zinakuwa zinafanya kazi undergrounds kama kujiupdate nimeangalia hakuna ila mb zinaisha.
Saa hivi nimesitisha kuangalia video za kikubwa maana mb zinakwenda sana kwa mwendo huu sijioni nikidumu huku lazima nirudi nilipozoea kwenye Infinix.