Infinix, Tecno na Itel ni friendly kwenye matumizi ya MB

Infinix, Tecno na Itel ni friendly kwenye matumizi ya MB

Nina experience ya muda mrefu wa kutumia Infinix, Tecno na Itel Kuna kitu nimenotice baada ya kuachana na matumizi ya simu hizo kimsingi ukweli usemwe hizo simu ziletengenezwa kuminimize cost kuanzia price ya kununulia mpaka maintenance.

Wakati natumia Infinix wiki kadhaa nyumba bundle la jero ambalo Vodacom Wana offer mb246 nilikuwa naweza kuangaika nalo kwa masaa zaidi ya kumi na mbili hapo ni mwendo wa Facebook, Jamiiforum na Whatsapp.

Sasa wahuni walipita na Infinix yangu nikaamua kuchange brand kuja kwenye Pixel aisee Mb zangu zinalika mb246 zinatumika chini ya lisaa limoja matumizi ni yaleyale Facebook, Jamiiforum na Whatsapp ilibidi niwapigie Vodacom kuwauliza kulikoni wakaniambia niangalie setting zangu uenda kuna apps zinakuwa zinafanya kazi undergrounds kama kujiupdate nimeangalia hakuna ila mb zinaisha.

Saa hivi nimesitisha kuangalia video za kikubwa maana mb zinakwenda sana kwa mwendo huu sijioni nikidumu huku lazima nirudi nilipozoea kwenye Infinix.

View attachment 3039890
Ni kweli Mkuu, simu ulizotaja zina Engine ndogo ndiyo maana hata matumizi yake ya MBs yapo chini tofauti na hizo brand nyingine ambazo zima engine kubwa.
Simu ulizotaja ni kama passo, Ist, vitz etc. lakini hizo zingine ni kama brevis tu
 
Hujui na hujui kuwa hujui, tofauti ya speed ya Internet au ubora wa picha au video uko wazi kati ya simu hizo mbili
Kwanza kabisa, kufanya kitu sawa kwenye mtandao wa kasi au wa taratibu utatumia kiasi sawa cha data mfano kudownload au kustream video ya MB 200 kutahitaji MB 200 haijalishi aina ya simu au kasi ya internet

Tofauti ni kwamba mwenye high speed internet atakamilisha haraka kuliko kwenye slow speed internet
 
Mkuu vina uhusiana mkubwa kama huamini jaribu siku moja kuwa na simu zote mbili mfano upande Samsung na Itel zote ziunge kifurushi kimoja afu zitumie utanotice ipi imetumia bando kwa muda mfupi
Mimi sijui sana kuhusu hizo brands kama Infinix, itel na tecno sijawahi kuzitumia nimekuwa nikitumia Samsung

Ila kwa uelewa wangu kusema aina ya simu inaamua matumizi ya data sidhani kama kuna ukweli

Mpaka sasa sijapata maelezo ya kuniridhisha niwaunge mkono
 
Mimi sijui sana kuhusu hizo brands kama Infinix, itel na tecno sijawahi kuzitumia nimekuwa nikitumia Samsung miaka yote

Ila kwa uelewa wangu kusema aina ya simu inaamua matumizi ya data sidhani kama kuna ukweli

Mpaka sasa sijapata maelezo ya kuniridhisha niwaunge mkono
Kama ilivyo tofauti kwenye specifications basi Kuna utofauti katika matumizi ya MB simu kubwa inakuwa na specifications kubwa na vitu vingi compared na simu ya kawaida katika hali ya kawaida matumizi hayawezi kulingana
 
Ni setting tu na matumizi, apps zinazorun hasa kwenye background, processes kama syncing, updating, auto update apps au refreshing hivi vitu watu wanavichukulia poa lakini vinakula data

Kwa mfano kila kitu kwenye web iwe ni file, video, pics n.k vimeshaandikwa vina ukubwa gani wa GB au MB.

Unataka kuniambia kuwa mwenye Samsung akidownload ataenda beyond ya zile GB au MB zilizoandikwa kwa sababu eti simu inakula sana data kuliko wa itel?
 
Ngoja tupate majibu kutoka kwa IT wa IFM, DIT na UDSM

Hizi simu za Kisasa kama Samsung & Iphone zina mambo mengi yanajiendesha pole pole kwa data kama ipo on kama ku pokea update ndogondogo kama za playstore, utube, na nyingine nyingi
Hata wakati wa kuona picha, ukiwa na Iphone/Samsungu, unaipata kwenye 4/5G na high definition; wakati mwenzako simu yake ina 2/3G lazima data zake ziende taratibu
Kimsingi technologia ya alizotaja ipo chini...
 
idea nzima ya ku play video (ku stream) ni kwamba kipande cha video kidogo kinakuwa downloaded na kuingia kwenye temporary storage(aka buffer) ya simu au PC na video ina play kutoka kwenye hii buffer
sioni kwenda kwa MBs inahusiana vipi na ppi, display graphics za kifaa husika
Je ukifungua picha ya 4k au video4k kwenye cheap tekno au infinix itadisplay with all details? Kama ambavyo itadisplay kwenye high end smartphone? Unadhani matumizi ya mb yatabaki sawa? Ukitaka kuamini zima background consuming apps kwenye iphone 15 pro, tumia tiktok sambamba na mtumiaji wa infinix kwa bando la 1k uone kama utatoboa nusu saa.
 
Mimi sijui sana kuhusu hizo brands kama Infinix, itel na tecno sijawahi kuzitumia nimekuwa nikitumia Samsung

Ila kwa uelewa wangu kusema aina ya simu inaamua matumizi ya data sidhani kama kuna ukweli

Mpaka sasa sijapata maelezo ya kuniridhisha niwaunge mkono
Mimi nina iphone na hiyo infinix so hiyo iko wazi wacha ubishi. Hiyo infinix nikiunga gb1 naweza kutumia ista na tiktok siku nzima lkn iphone sithubutu kuunga bando za kuunga unga zaidi ya unlimited tu maana ni maumivu
 
Nina experience ya muda mrefu wa kutumia Infinix, Tecno na Itel Kuna kitu nimenotice baada ya kuachana na matumizi ya simu hizo kimsingi ukweli usemwe hizo simu ziletengenezwa kuminimize cost kuanzia price ya kununulia mpaka maintenance.

Wakati natumia Infinix wiki kadhaa nyumba bundle la jero ambalo Vodacom Wana offer mb246 nilikuwa naweza kuangaika nalo kwa masaa zaidi ya kumi na mbili hapo ni mwendo wa Facebook, Jamiiforum na Whatsapp.

Sasa wahuni walipita na Infinix yangu nikaamua kuchange brand kuja kwenye Pixel aisee Mb zangu zinalika mb246 zinatumika chini ya lisaa limoja matumizi ni yaleyale Facebook, Jamiiforum na Whatsapp ilibidi niwapigie Vodacom kuwauliza kulikoni wakaniambia niangalie setting zangu uenda kuna apps zinakuwa zinafanya kazi undergrounds kama kujiupdate nimeangalia hakuna ila mb zinaisha.

Saa hivi nimesitisha kuangalia video za kikubwa maana mb zinakwenda sana kwa mwendo huu sijioni nikidumu huku lazima nirudi nilipozoea kwenye Infinix.

View attachment 3039890
Huna Akili
 
Mobile data consumption can vary based on several factors, including the type of phone, its RAM, and price. Let's break it down:

1. Phone Type and Optimization:
- Smartphones: These devices are designed for constant connectivity and efficient data usage. They tend to optimize data consumption, have smaller screens, and run mobile-optimized apps that use less data compared to laptops or desktops¹.
- Laptops/Computers: Laptops and computers are not as data-efficient as smartphones. They have larger screens and may run desktop applications that consume more data.

2. RAM and Data Usage:
- RAM (Random Access Memory) doesn't directly impact data consumption. It affects the device's performance and multitasking capabilities but not how much data it uses.
- However, phones with more RAM might handle background processes more efficiently, potentially affecting overall data usage indirectly.

3. Price and Data Usage:
- The price of a phone doesn't directly correlate with data consumption. High-end phones may have better hardware and features, but their data usage depends on how they're used (e.g., streaming videos, browsing, app usage).
- Budget phones can also provide a good data experience if they're optimized well.

4. Common Activities and Data Usage:
- Here's an approximate breakdown of data usage for common activities:
- Browsing websites: 1-5 MB per page.
- Streaming music: 50-150 MB per hour (depending on quality).
- Streaming SD video: 250-500 MB per hour.
- Streaming HD video: 1-3 GB per hour.
- Video calls (e.g., Zoom): 1-2 GB per hour.
- Social media apps: Varies based on usage.
- Emails and messaging: Minimal data usage.
- App updates: Varies based on app size¹².

Remember that individual usage patterns and app preferences play a significant role. If you're concerned about data consumption, consider monitoring your usage and adjusting settings accordingly. 😊📱

Source: Conversation with Copilot, 7/13/2024
 
Mimi nina iphone na hiyo infinix so hiyo iko wazi wacha ubishi. Hiyo infinix nikiunga gb1 naweza kutumia ista na tiktok siku nzima lkn iphone sithubutu kuunga bando za kuunga unga zaidi ya unlimited tu maana ni maumivu
iPhone inakulaje data kuliko infinix? Hebu fafanua
 
Back
Top Bottom