Infinix, Tecno na Itel ni friendly kwenye matumizi ya MB

Kapeace BabaMorgan Mwiba1 dronedrake


individual usage patterns and app preferences play a significant role, If you're concerned about data consumption, consider monitoring your usage and adjusting settings accordingly
 
Pixel nayo bado ni infinix tu kasoro camera umegusa iphone?
 
NAKAZIA
 
Mkuu unataka kusema ukiwa na gari yenye 2000+cc na 1000cc then uweke mafuta lita 2 yote yatatembea umbali sawa hadi mafuta yaishe??
 
Mkuu hesabu za faida ya tecno kuizidi Samsung ama Iphone umezitoa wapi?

Hizo simu zinauzwa Affrika pekee tena kwenye nchi masikini za kusini mwa jangwa la sahara ukiitoa South Africa.

Hizo simu zinauzwa laki 2 hadi laki 5. Iphone anauza simu inaanzia milioni 2 hadi 4, siku 1 ya Iphone ni simu 10 ama zaidi ya tekno.

Iphone na Samsung wameshikilia soko la Dunia, zinauzwa huko Duniani kwa watu wenye pesa.

Umewahi kuona taarifa za kimahesabu ama financial reports za Apple na Samsung na Tecno ulinganishe faida hadi useme Tecno anawazidi?

Samsung mwaka 2023 aliuza simu milioni 226, akatengeneza faida ya Dola Bilioni 193 sawa na shilingi za Kitanzania Trilioni 521.

Apple mwaka 2023 imeuza simu mili 232 na ikapata faida ya Dola Bilioni 393 sawa na shilingi za Kitanzania Trilioni 1,061 sawa na bajeti ya Tanzania ya miaka 22.

Tusaidie kujua hesabu za tekno tufanye ulinganifu.
 
ku-load(kufungua) file lolote toka kwa online server, ni kwamba linakuwa buffered kwanza kwa storage ya client device/kifaa husika, ndiyo lafungukia toka hapo, file litakuwa buffered kwa size yake ile ile iwe unatumia feature phone au smart phone
 

Samsung hawauzi simu tu. Simu hazifikishi hata asilimia 25 za bidhaa za samsung company

Apple pia hawauzi simu tu. Anapiga hela kwenye computer zake za MACBOOK na bidhaa zingine.

Mimi naongelea market share ya simu.

Samsung company wanapata faida kwenye home appliances na vitu vingine kuliko kwenye faida za simu.

Mchina anapata faida kwenye simu sababu anatengeneza simu zake kwa low cost of production huku anauza kwa bei juu. Mfano Unakuta simu kaitengeneza kwa shilingi 100 ila anaiuza shilingi 200 ama 300. Yaani zaidi ya 100 % profit kwenye kila simu moja.

Samsung ana financial statement kubwa sababu ya products zingine za kampuni ila sio simu


 
Hiyo market share ya simu umeipata wapi?



Hii ni robo ya kwanza ya mwaka 2024.

Naomba taaarifa ya hiyo ya kwako tafadhali.
 
Unataka nifafanue nini hapo mbona maelezo yote yapo clear..siwezi tumia gb1 siku nzima kwa iphone kama ninavyotumia kwa infinix
Mobile data consumption can vary based on several factors, including the type of phone, its RAM, and price. Let's break it down:

1. Phone Type and Optimization:
  • Smartphones: These devices are designed for constant connectivity and efficient data usage. They tend to optimize data consumption, have smaller screens, and run mobile-optimized apps that use less data compared to laptops or desktops¹.
  • Laptops/Computers: Laptops and computers are not as data-efficient as smartphones. They have larger screens and may run desktop applications that consume more data.

2. RAM and Data Usage:
  • RAM (Random Access Memory) doesn't directly impact data consumption. It affects the device's performance and multitasking capabilities but not how much data it uses.
  • However, phones with more RAM might handle background processes more efficiently, potentially affecting overall data usage indirectly.

3. Price and Data Usage:
  • The price of a phone doesn't directly correlate with data consumption. High-end phones may have better hardware and features, but their data usage depends on how they're used (e.g., streaming videos, browsing, app usage).
  • Budget phones can also provide a good data experience if they're optimized well.

4. Common Activities and Data Usage:
  • Here's an approximate breakdown of data usage for common activities:
  • Browsing websites: 1-5 MB per page.
  • Streaming music: 50-150 MB per hour (depending on quality).
  • Streaming SD video: 250-500 MB per hour.
  • Streaming HD video: 1-3 GB per hour.
  • Video calls (e.g., Zoom): 1-2 GB per hour.
  • Social media apps: Varies based on usage.
  • Emails and messaging: Minimal data usage.
  • App updates: Varies based on app size¹².

Remember that individual usage patterns and app preferences play a significant role. If you're concerned about data consumption, consider monitoring your usage and adjusting settings accordingly. 😊📱

Source: Conversation with Copilot, 7/13/2024
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…