Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Tafasri ya haraka: Inflation is too much money chasing few goods. '' Pesa nyingi kwenye mzunguko zikikabiliana na uhaba wa bidhaa sokoni'' Sasa hapa ndo ninapokuja kwenye uchumi wetu wa bongo, pesa kwenye mzunguko hakuna, bidhaa kama sukari hakuna sasa inflation inatoka wapi au wamezishikila wao wachache? Napata shaka sana kama Tanzania inaelekea kunako salama. Sitashanga kama tutajikuta tunaipoteza hii amani ambayo tumekuwa tukiimaba kila kukicha. Wanasiasa vigeugeu angalieni sana, I think you have lost the direction so far. Its my opinion I stand to be collected.
Uchumi waTanzania unashuka kwa kasi!Na hapo ndiyo tujiulize wale wanaodai uchumi wa tz unakua kwa kasi, wanatumia vigezo vipi?