Inflation ni nini?

Inflation ni nini?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Naomba maelezo yanayojitosheleza tafadhali

Nafuatilia kupanda kwa gharama ya maisha Uingereza lakini kuna kitu kinanitatiza.

Wao inflation rate yao ni 9.1%

Tanzania ni asilimia 5 na.poimt
 
Mzee Mgaya hii ya huko uingereza na ya kwetu ni ile ile mifumuko sema wenzetu ni matajiri na sisi umasikini umetuzidi hivyo ikiwa ata %2 kwetu bado ni mateso makubwa.

ngoja watalamu waje hapa
 
Mzee Mgaya hii ya huko uingereza na ya kwetu ni ile ile mifumuko sema wenzetu ni matajiri na sisi umasikini umetuzidi hivyo ikiwa ata %2 kwetu bado ni mateso makubwa.

ngoja watalamu waje hapa
Nimekuelewa bwashee
 
Back
Top Bottom