Inflation rate ya tanzania hua ni 3% mpaka 8% umejipanga vp?

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
40,702
Reaction score
41,213
mtu aliekua na $1M mwaka 70 ama 80 kwa miaka ya leo ni sawa sawa na $8.35 million kwa mahesabu haraka ya chatgpt


likewise na kwa tanzania aliekua na laki moja mwaka 90 apo ni kama 1.5M ya saahv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…